@vibanda_classic: Vibanda vya kisasa kabisa kwaajili ya kazi ya uwakala wa mitandao ya simu na Banki Vibanda hivi nibola na vinatengenezwa kwa bodi maarumu za kuzuia kutu ,joto,mvua Nk Kinavumilia hali yoyote ile ya hewa pia hakichimbiwi chini ili kutafta uimara kina simama pekeyake maana ni imara sana . Ubebaji Kinaamishika vizuri kwa kutumia gari au Toyo/ guta la miguu mitatu Nawatu wakukinyanyua ni wanne tu Kwa mawasiliano zaidi whstap. 0767198809

Best Kiosk & Glass work.🏘️
Best Kiosk & Glass work.🏘️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 March 2025 07:56:08 GMT
301464
6248
284
673

Music

Download

Comments

ezeflowers1
eze_flowers_tz :
Bei gan mkuu
2025-03-27 15:13:48
7
user7148374683311
Angel :
Bila kukichimbia chini asubuhi si utakuta kimebebwa
2025-03-27 15:37:22
25
cheerah_v5
Cheetah V5 :
Bei gani hivi
2025-03-27 10:00:25
4
abys.dady
samson jr :
MIL.1.8 NA MTAJI UMO UMO AU?
2025-03-28 03:38:29
15
fundi.azizah1
luluh🎀🎀 :
nauza kibanda cha wakala Cha chuma
2026-03-04 18:58:14
1
comadretz_tools
Comadre Company Limited :
kazi nzuri saana 💪💪💪
2026-07-22 15:45:11
0
kijanamwema
Kijana mwema💯🇹🇿 :
hiki mbagala wanaiba wallah😂😂
2025-05-23 18:06:11
2
vello500
vello500 :
shigapi na mnapatikana wap?
2025-03-27 17:37:09
1
bilgethmallya
bilsepenga :
tajir Yan Ushawapa watu formula ni mwendo wa guta Kwa watu wanne kibanda hakipo 🤣🤣😂😂
2025-03-27 17:29:08
6
johndoriye
John Doriye :
Bei gani kiongozi
2025-03-27 11:31:02
4
user9616650099316
Alex625 :
nakubali kazi nzuri me nishachukua tayari
2025-03-27 17:24:23
2
starbyessence.co
Star by Essence ✨️ :
unaamka kibanda kimebebwa😂😂 na pesa zke
2025-03-27 16:43:02
1
natieh5
@Natieh💦….😍 :
Hv kibanda km hiki ndani nawez weka kafirij kadgo
2025-05-31 16:01:46
0
usalama.wa.wakala
Usalama wa Wakala01 :
brother nakubali Sana kazi zako. hongera Sana Kwa ubunifu mkuu haya ndiyo mambo tunataka Toka Kwa wa Tanzania. sio vijana tunakaa tunalalamika lalamika tu
2025-09-11 14:58:49
0
do.worry.babi
Angel 😇 :
jmn nahitaji kibanda lkn bajeti yangu ni lakimbili tu cha perfume za kupima...naweza pata 🥺please
2026-04-26 09:50:55
0
khalved_
𝗸𝗵𝗮̊𝗹𝘃𝗲̄𝗱_✊ :
je kama hiki Bei gani mkuu??
2026-06-30 20:39:24
1
bamilitwaye
#Bamilitwaye great# :
me nipo morogoro nakipataje
2025-04-18 13:41:52
1
kijanamwema
Kijana mwema💯🇹🇿 :
Dah kwani amtengenezi ata vya laki sita😭😭😭 masikini tupate na sisi
2025-07-12 16:55:13
3
balozi493
Balozi :
kazi nzuri mkuu lakin bei ya kibanda ni mtaji wa KUENDESHA iyo biashara 😀
2025-03-27 20:30:57
2
gabrielgibageta56
Gabriel gibageta💫 :
mnapatikana wap
2025-04-04 07:38:56
1
maduhu.rehema
Rehema Herbal&Nutrition :
Bei yake
2025-03-27 16:52:01
2
user7978784069128
George :
bei
2025-03-27 11:48:05
2
reezcana
reezcana :
Mkoani mnatuma
2025-03-28 09:58:16
1
mussahamimu4
005 🇰🇼🇰🇼 :
NAKUBALI NAMIM NIFUNDI ALUMINIUM NIMEKIKUBALI SANA SHALOT SANA FUNDI
2025-03-27 18:58:31
1
msalaba.ndo.asil.ya.mema
Elijah | Directed by JESUS. ✝️ :
boss nipo serengeti mugumu na nimekipenda na kipataje boss siwez ishi bila hich kibanda
2025-03-28 10:29:36
2
To see more videos from user @vibanda_classic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About