@uhondo.tv: Mchungaji anajifanya hajasikia sauti ya Mungu 😃🙌

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 March 2025 22:27:48 GMT
681573
20120
1806
5029

Music

Download

Comments

sabianus99
SABIANUS✈️💯 :
tunaotaka kujua kama mchungaji alitoa au hakutoa gonga hapa tujuane
2025-03-30 15:05:40
714
saleheally0
saleheally0 :
mpeni laki sita zake, kauli ya Mungu haipingwi
2025-03-30 03:49:25
490
0782324119e
edward mushi :
Uy mama katuwakilisha vizur Kwa wachungaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪🤪🤪
2025-03-29 22:40:47
615
dhidhasalim
dhidha salim :
tapeli kapata tapeli mwenzake😂
2025-03-30 07:49:43
380
eazy3302440
Eazy e kdz☠️ :
tunao sema mchungaji hana hela ya kumpa tujuane hapa 🤣🤣
2025-03-30 08:19:50
271
user9309883819993
Joseph :
mwizi kakutana na kibaka
2025-03-30 09:16:26
165
chiomah81
chiomah♥🫦 :
matapeli tumekutana kazini anipe laki sita zangu😂😂😂😂
2025-03-30 17:36:36
93
bax706
Samson :
uyu mama kachana mkeka mchungaji hajaamini macho yake.
2025-03-30 10:08:37
106
joycepaul692
💞Joyce Paul💞 :
😂😂😂Ni muda wa kondoo kula mchungaji
2025-03-31 12:20:16
54
babe_modo
…….🌸🐾 :
mungu ameniambia unipe laki sita kwa heshima🤣🤣🤣🙌
2025-03-31 09:34:38
21
dwenjohnson1
USER 8764 :
mkunaji limempata pele 😂😂
2025-03-31 22:26:30
6
4vanelly6
Gzanelly🌸🌼 :
AMBAE HAIPENDI CCM GONGA LIKE HAPA
2025-03-30 12:15:34
59
user367286233126happy
happy :
mchungaji anajifanya kiziw🤣🤣🤣
2025-03-30 09:22:39
5
neylan.daudi
Neylan Daudi :
tapeli kakutana na tapeli mwenziye
2025-03-31 20:19:30
5
user4492860205825
berthar r :
kumbe hii iliaza huku☺️☺️☺️☺️
2025-04-01 10:40:27
5
user1717244908281
user >Hamis Tz🇹🇿 I'm single :
Tuna oamini huyu mama kaguswa na roho mtakatifu wa bwana tujuane⛪
2025-03-30 17:55:49
8
sweetbertm.mkwera
Sweetbertm Mkwera :
mchungaji toa elayawatu
2025-03-30 09:28:53
5
user3243172081936
Lovelee! :
mwiz kakutana na kbaka
2025-03-31 18:32:08
11
riziki.ally
Aisa Ngomuo :
sadaka yote anaondoka nayo leo🤣
2025-03-30 08:07:27
67
momtwins254
momtwins🩷🥰🩵🩶 :
just to be sure laki sita ni mia ya kenya ama😳😳😳
2025-03-30 17:46:25
5
sirajishabani
siraji shabani :
mpeni laki sita Mungu keshasema
2025-03-30 09:17:43
32
rombo502
KABAISSA :
Mchungaji mbona kama Haaminiii 🤣🤣🤣
2025-03-30 09:05:38
5
user3567183886105
cosco :
matapeli wamekutana..
2025-03-31 21:23:38
17
aj_tablet_store
Sally :
ifike hatua wasoma comment tulipwe😂😂😂😂😂😂
2025-03-30 08:59:52
5
sudy116
sudy :
laki sita mbn kama mwamba kachanganyikiwa
2025-03-29 18:49:26
10
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About