Sio ngum bhn..wengine sio kwamb tunajikaza kutokuw na wanawake wengi..ni vile hiyo roho ya kutamani mwingine haipo ndani yetu..hatujikazi wala ni Mungu ndiye anaetuwezesha kushinda tamaa
2025-03-30 06:18:24
125
chimomymagy :
hata sisi ningumu kiukwel tunajishikiliaga tu nyau nyie😂😂😂
2025-03-29 17:56:55
105
Sulwe The Great :
hta mume mumoja Ni ngumu😢
2025-03-29 17:53:51
49
danetha :
ssi pia n ngumu kuwa na mwanaume mmoja maana huyo mwanaume hawezi kuwa na vyote tunavyovihitaji au tunavyovitamaniii😔
2025-05-01 07:35:19
3
Jěŷ♓️ :
Hatasisi ni Ngumu jmn Kuishi na Mwanaume Mmoja 🥺🥺🥺🥺
2025-03-29 17:16:15
30
marthaanton :
hivi mchungaji anamaneno kama haya kwa sababu gani du😭😭
2025-04-19 17:56:33
5
Cute baby :
na mwanamke kuishi namwamaume mmoja je?
2025-03-29 18:12:48
30
felix :
Kuna mzee aliwahi niambia ukiona mwanaume Yuko na mkee mmoja basi iko shida mahali Wenda Hana pesa.. mlemavu au Mambo menginee zaidi ivo tuuu🤐🤐
2025-05-04 12:46:02
3
ibraah timol :
aah ndio maan waislam tukajiwekea kasheria ke2
2025-03-30 04:51:58
12
Habukilwa :
ndiooo but inawezekana!☺️☺️
2025-04-26 18:56:08
3
Frog man🐸 :
today, a bro has spoken it
2025-03-30 08:37:05
10
Irene Kisibo :
ata mwanaume mmoja ni ngumu saaana
2025-03-30 10:35:01
11
Alice Maheshe :
hata kukuwa n'a mwanaume mu moja ni ngumu😏😏😏
2025-03-31 11:48:37
4
SIR.MHOJA :
Ugumu wake ni upi!? Sema ngumu kwako!! Kama mwanamke hana usumbufu ugumu wake upi!? We kamalaya e!?
2025-03-29 23:31:09
20
Esther Kisegenya :
Wewe si una pande mbili ndo sababu unasema kukaa na mwanamke mmja ni ngumu
2025-04-27 10:00:52
4
Bahati Mangu🌻🌻 :
Nikweli Ila wanawke tutafute pesa tuu kilichokuepo
2025-03-30 10:13:57
5
user5813618678483 :
hata kuwa na mume mja ni ngumu mno baba
2025-03-31 13:52:38
1
Dennis Sanga :
balaaaaa sana
2025-04-05 05:14:55
2
Ebraah Darasa26 :
ni ngumu😂
2025-05-15 18:11:14
3
Mbichi :
we silimu bna uwe muislamu babaaaa
2025-06-22 17:42:39
2
Eliah mogha :
kweri
2025-05-20 10:19:38
1
Thomas M. Nagaikaya :
Hakika Biblia imeingiliwa; kuna mahubiri yanatisha.... kuna wajinga wanasema Amen!?!!
2025-05-16 11:46:59
2
Dereva"msafii.$* :
hats wao ni ivoivo tu sema wao wanajua kujificha
2025-04-11 08:12:28
3
Anne :
kupika mwiko mmoja ni ngumu pia
2025-03-31 16:37:54
4
black warrior :
kwa hio prophet ipm ww una wangapi; wanawake kwa hilo nazani mumejua kwa nini kuna mtu inasemekana alikua na wanawake 700 ZINGATIA 700
2025-05-30 10:19:39
1
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm
homepage.