@mwanza.view: 📍NYAMANORO MWANZA . . . #NiulizeKuhusuMwanza #MzururajiMwenyePixelOgy . . . . . . . #gainwithiyonation #gainwithmtaaraw #nairobikenya #gainwithmugweru #gainwithwestandmugweru #iamnairobian #publicity254 #igerskenya #nairobikenya #igkenya #fashionkenya #ignairobi #iamnairobian #gainwithxtiandela #gainwithbundi #gainwiththeepluto #gainwithmchina #kenyan #underarmour #gainwithspikes #gainwithmtaaraw #gainwithmuthoni #gainwithpolasho #10over10 #gainwithdjkirimino #gainwithkenyanoxygen #gainwithfinessengara #tembeakenya #followforfollow #diamondplatnumz
MWANZA VIEW 🏞🌏
Region: TZ
Saturday 29 March 2025 08:12:56 GMT
Music
Download
Comments
_Kizzie🤑🤑 :
Nmeona barabara ya Kwenda Kawekamo enzi hizo nipo Shule ya msingi Kilimahewa tunapita huku kwenda kuchuma mikamwirwa
2025-03-29 17:52:42
7
bihemo_tz :
home kabisa
2025-03-29 08:38:36
5
user34709994907 :
watoto. wa mwanza tuliopo dar like apo tujuane
2025-03-30 16:26:50
4
David :
Aisee nilikua natoka kotaz kule nakuja hapo kuchek movie kwenye Banda flani hivi lipo kweli..?
2025-03-30 17:25:16
5
Esther Thomas :
mwanza nzuri
2025-06-24 17:10:38
1
LULU :
be strong 💪 ✨️❤️🙏 💖 ♥️GOD'S Bless you Forever 😅😂
2025-06-24 23:14:28
1
james Daniel :
nyimbo ya nan hiy
2025-03-31 03:41:51
2
ndomelo :
kukaya ghete bhabehi yeee
2025-04-10 08:03:23
1
denyo@ :
umenikumbusha broo nyumba ulio ivuta geti jeus waliniungisha bidhaa da! 2020 💪💪 @bilakuchoka
2025-03-29 23:08:48
2
Dominic Sweya :
kawekamo huko nyumbani kwa askofu renatus nkwande
2025-05-29 01:08:10
1
BILCAT :
from 254,Hapa napajua mbele kuna duka la spea la caterpillar, na nyuma kuna soko
2025-03-29 09:48:45
2
Merrysikuta🫰 :
Barabara ya kwenda home ilee💃
2025-03-29 18:56:10
2
kelvinmalula :
😅oya nichukulie video ya machichioni pale sokoni ya kwenda muhandu
2025-03-31 08:52:33
2
elice :
njia ya kwenda kawekamo
2025-03-31 11:29:42
2
ammyb_360 :
Duh na Kibanda changu cha M-Pesa nimekiona 😂
2025-03-31 15:32:49
1
user3613036958197 :
YAANI HUO MTAA CTOWEZA KUUSAHAU KABISA NYAMANORO
2025-04-25 04:02:21
1
lizzy🇹🇿❤️ :
njia ya kwenda kawekamo
2025-04-01 07:33:02
1
🤴...CN. :
DAH MITAA YANGU KABISA HII MIAKA KADHAA NYUMA.
2025-03-31 20:50:57
1
Happynesi Jackson :
nilikua naangalia kwa umakin ili nione babutst
2025-04-01 09:18:14
1
IBRAkadabla10 :
daaaah nimepamis apo kituo Chang nikitak kwend nata geto lipo juu apo nyum y kanis MWANZA it's beautiful place
2025-04-27 20:23:22
1
KABAISA #BK💯💯 :
haaa kawikamo
2025-03-29 13:26:58
3
kiskio 45 :
njia ya kwenda kawe kama iyo
2025-03-30 07:34:44
1
Dalali Peter Mwanzatz :
Nyamanoro
2025-03-30 06:08:35
1
suzana :
mwanza moja hiyo siko mbali
2025-04-30 05:14:10
0
To see more videos from user @mwanza.view, please go to the Tikwm
homepage.