@hubofwisdom.inc: “Waajiriwa… mzee ana point asikilizwe? 😅 Au apuuzwe ili maisha yaende?” #thewisetz

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 March 2025 17:38:50 GMT
947104
47476
914
8015

Music

Download

Comments

official_makani1345
NYANDA MAKAN 💸💎💴 :
aliemwelewa uyu jamaa tukutane apa
2025-03-30 17:53:58
637
sigmaalonewolf
gentle giant :
kuajiriwa ni utumwa, huezi kusafiri hadi boss akupatie ruhusa.
2025-03-30 11:50:58
70
user2050831405235
user2050831405235 :
uwezi kumuelewa kama una akiri timamu .
2025-03-29 20:52:27
180
asati195
Asati Wycliff :
kwa hyo niache kufanya kazi nije kwako unilishe ww msenge?
2025-05-14 08:11:09
8
mohdharoub1
Mohammed haroub :
Sasa watu hawana mitaji...ni bora kuajiriwa kuliko kuiba au kukaa bila ya kufanya kazi
2025-04-01 07:16:11
32
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Hii mada ya kuajiriwa imekuwa kubwa saana. Huyu Pastor unakuta ana mtoto anasoma private ambapo walimu wake wameajriw wameiyona hii video na wanaacha kaz kesho. Pastor somesha wanao mwenyw home.😂😂😂
2025-04-02 15:49:39
13
celestinemuchangi
ngumu kumeza :
imani potovu,so tuache kazi tuje utatulisha na ulishe familia zetu?
2025-03-30 15:33:17
36
bambijohnson
Johnson'B :
nikweli
2025-04-24 08:28:22
1
user49309660263608
james :
pumbavu.zako
2025-03-29 17:54:19
9
userbazungu
yussuf salim electric installa :
wale walizikiliza zaidi ya Mara mbili tujuane gonga like
2025-03-30 15:16:31
5
cavinke52
cavinke52 :
hata wewe unalipwa kwa sadaka
2025-04-01 09:54:09
0
jonteskar4
Password :
Nakama umeajiriwa kwa serikali kama president??
2025-03-31 10:12:04
14
mariam.sanga47
MARIAM SANGA. :
truee pastor Asipuunzwe kabisa
2025-03-29 19:47:55
5
manyigu.empire
manyigu Empire :
huo n ntazamo wako ila,, kupitia hio ajira ndo njia zetu kwetu sisi wanyonge kufikia malengo yetu🙏🙏🙏
2025-04-02 07:43:59
6
user4577967358326
grandson :
wengine ndoto zao nikuajiliwa sasa wasahau ndoto zipi
2025-03-31 15:00:15
8
user698339674177
user698339674177 :
sasa kila mtu atajiajiri wapi mm nikifungua kampuny nitaajiri watu
2025-03-30 09:37:08
20
oliveromienatorna
TaLIMbO :
sasa tuwache kazi tukule matako yako?? ngombe wewe
2025-04-28 18:30:27
5
mpemba.cute
JM ACCESSORIES@8 🔥😍💄 :
pastor mi naomba tu niajiriwe dah Sina pa kuanzia kabisa
2025-03-29 18:25:42
5
boniface.mwakimong
Anko.B7🇿🇦⚖️🇹🇿 :
sasa jidanganye uwache kazi kwajili yahuyu utasuta wewe waulize ambao Awana kazi watakupa majibu kuajiliwa akukatishi ndogo zako unaweza ukawa kwenye ajila na ukatimiza ndoto zako naomba musidanganyik
2025-04-27 12:18:34
1
user4477357156935
Ruth k💙💙💚💦💋💖 :
vile mimi hugonja hizo dawa za kulevya🤣🤣🤣
2025-04-06 23:53:34
2
user38424391058
Mr love♥️❣️♥️ :
kama anachozungumza huyu mtumishi ni kweli gonga like 👍
2025-04-27 13:48:45
3
user6702660126559
Mchizy kichizy :
ujinga wako na suti yako hata haviendan
2025-06-20 18:27:25
1
dsoundnho
Dsoundnho :
usikutee mwenyew kahajiriw 😁😁
2025-04-01 14:13:43
2
ulamaa48
Mjukuu wa mtume :
binadamu tunategemeana,
2025-03-30 17:29:45
3
govanbroo.noko
GOVAN BROO (NOKO) :
kampuni zitafanya aje kazi bila wafanyi kazi, na sii kila mtu ako na biashara yake, lazima tuwe na job opportunities. My guy huk ujumbe ni una-miss lead watu.
2025-04-22 18:18:46
2
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About