@hamzady7: #tiktoktanzania🇹🇿 #hamzady7 #EidMubarak #viraltiktok #fyp @YOH FAVORITE BOY🌹 @💞edination 🦋 @Bae dalfaah🦋🫦 @_Ms.fr33ak.69🤎🧸🧿 @It’s w:)💕🥹 @MARIOO

hamza_shaib
hamza_shaib
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 March 2025 08:32:55 GMT
679344
37506
1049
272

Music

Download

Comments

beatrice.boaz0
Beatrice Boaz :
pole na safali mume wang
2025-03-31 16:25:25
106
vmassawe0
[email protected] :
mungu nipe kama huyu nitulie nimechoka sasa🤔
2025-03-31 16:51:05
96
evadorah.marandu1
Evadorah Marandu199 :
😅😅😅😅😅 hii dunia ina mambo hiyo ni sura tu dada nyuma yake kuna mateso na maumivu. sio kila kingaacha ni dhahabu wadada wenzangu tulizeni mihemko
2025-04-01 16:37:38
30
haivanbland
@haivanbland29 :
Sawa products ya mafiga high school 🔥🔥🔥
2025-04-29 15:36:23
0
sally36157
sally :
wadada taratibu jamani kah mbona mwasukumana ivo
2025-04-01 14:42:04
15
chaupole097
username 37 :
tiktok mnakuja vunja husiano la watu kaka wawatu km demu wake yuko uku c mnaleta ugomvi
2025-04-01 09:23:10
5
khairaty.zabron
Khairaty Zabron :
mh!
2025-09-04 13:42:23
0
glorymakungu137
Glory 🥰 :
mungu akutue nguvu maana daaah ni hatar watauwan kaka
2025-09-07 02:17:05
0
mamav823
last born wa mama❤️ :
umesha ambiwa n HB sas hatupumui
2025-03-31 11:42:57
20
priscabany473
prisca :
kaka mzuri kama mwanangu Mungu akulinde najicho la husda
2025-04-11 14:24:22
0
taupardess29
taupardess29 :
Ni muda wa wadada kujidhalilisha😭
2025-04-20 17:57:11
8
rosesanga635
Rose 🌹🌹🌹 :
Mungu ukinipq uyu nikichiti na apo basi nitakua nimeshindokana nichukue tu baba
2025-04-25 06:38:09
0
ley.vijora
ley vijora :
ngoja ntafute nauli mimi skubali😂😂
2025-07-16 09:48:00
0
grace.godson1
Grace Godson :
Kwan we nitype ya Kila mwanamke mbn nimesearch umekuja wewe na unamke tyr😁
2025-08-10 14:36:02
0
mamo_069
meryem🥰⚘️🥀 :
tren nzima ulikua peke yako au ulisubiri watu waishe ili uchukue video 😅
2025-05-16 20:32:43
0
paschaliakomba
Paschalia komba 🇹🇿 :
mungu kasema unipe laki6
2025-04-01 19:38:46
6
jesca4186
jesca :
mungu kasema uje kwetu ujitambulishe🙄🙄🙄😂😂😂🙌
2025-04-01 06:52:12
6
odyensilayo
Odyen Silayo :
siwez ishi bila ww🥰
2025-03-31 16:45:21
5
bibibomba0
Bibi bomba :
MUNGU FANYA kama nilivyo kuomba kwenye maombi yangu🙏🙏🙏
2025-04-01 19:57:59
8
edithajacob1432
Editha Jacob :
mungu kasema unioe kweli tena kaniambia mm sidanganyi
2025-04-03 09:47:46
2
finegir42
finegirl❤️ :
wow🥰
2025-06-18 15:23:00
1
agnesjohn573
Agnes john :
Nakupenda sana wewe kaka naomba uwe mpenzi wangu ❤️❤️
2025-04-04 06:40:15
2
missgee086
🎀Its Gee🌸💦 :
😂😂uwii kila mtu mume wangu sasa nani ndo mke halali
2025-04-01 18:21:47
3
user2573738377559
it's lady💞 :
jamani na baba angu anatwa shaibu 🥰
2025-04-21 20:37:22
0
mimomimy2
mimo mimy :
Nirecord nikiw natoka alaf nitaangalia pembeni na kujichekesha😅😅
2025-04-01 21:53:11
1
To see more videos from user @hamzady7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About