@millardayo_: UNAMPA MWAKINYO NGAPI YA 100% HUMU ?

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 March 2025 18:37:51 GMT
186569
16734
521
514

Music

Download

Comments

mathayo...jojoo
KADAMA DAUGHTER🦋🌷💫 :
Nani yupo free tukaokote nazi kwa mwakinyo😂
2025-03-31 18:42:40
121
dullahowland.tz
Dullahowland TZ :
jamaa pia ni Tajiri wa meneno ya hekima na maono🤜
2025-04-01 04:12:46
92
mouffat
Masanche :
Millard kwanini umpe mwakinyo kachupa kadogo alafu wewe kubwa?😂
2025-03-31 20:03:55
59
eliudogalo
eliudogalo (ja naam). :
nakubali,,, kuna jamaa yangu ni tajiri wa madem
2025-03-31 18:43:27
81
nelly.junior1
Nelly Junior :
Namkubali sana mwakinyo Katika suala la kupangailia Nini aongee wakati Gani na wapi anaongea na anaongelea nn
2025-04-01 06:44:00
45
desavege2
YAYA SAVAGE🥷☄️ :
millad nampa 1000 champers wang😃
2025-03-31 18:40:52
10
binmendez16
M E N D E Z 💎 :
Exactly Broo Unatakiwa upewe 🌟 star ya Motivation
2025-03-31 21:14:03
12
its.sanch01
@It's*SaNcH0🎭💙 :
big fact💪
2025-04-01 04:16:46
11
milanmax_
kidie45 :
Mwakinyo anaongeaga Points sana na ukimsikiliza kwa sikio la kiupembuzi lisilo na chuki wala husda na roho mbaya unapata madini sana. Big up Champez.
2025-04-02 09:29:24
13
polleson3
PELLO ✅ :
Millard kaka salam kwako huwa najifunza mengi kupitia wewe🤝
2025-03-31 18:45:59
7
uncle_philly7
uncle philly 👣 :
Fact 🔥
2025-03-31 18:56:32
5
daudinikodem
Dev" :
millard mwakinyo ameongey point xanaa 🫡🫡🫡
2025-03-31 18:59:12
5
bottawiggo
wiggo :
Mi naamini utajiri wa Kwanza ni Huai 💪💪💪💪
2025-04-03 18:03:52
3
user49415914293815
KILANGO :
huyu ni mtanga ambae ans akili ya kutafuta na ana ukubwa wa fikra namkubali sana brother hayupo kama watanga wengine wavivu kutafuta
2025-04-01 19:30:22
4
nelsoniijr
vester B :
tisha sana mwakinyo umeongea point sana
2026-01-24 11:34:17
1
jose.palakas
Jose Palakas :
mwakinyo ana fact sana anavo elezea jambo
2025-05-23 12:02:37
2
mbi_shi86
NDARO :
kabisa chmpez💯
2025-06-28 05:44:45
1
user337375020494
FZ tradutor :
hapa namini cabissa 🇲🇿
2025-05-10 05:54:17
1
user85006234174713
baraka benard2007 :
kweli broo
2025-06-07 18:22:05
1
intellectualfx2030
INTELLECTUAL FX :
Millard ni tajiri wa madem mina ally na frida aman
2025-06-23 19:47:23
1
pelina_dyaga
PELINA DYAGA :
TAKO LANGU LINAWASHA NAOMBENI DAWA JAMANI 🥺💔
2025-04-03 14:42:49
1
user1425346110423
Hasan hasan,🇹🇿🌱 :
mwakinyo maneno sahihi💛 umeupiga mwingi sema Tu watu wasiende kuokota nazi 😂
2025-06-08 16:46:41
1
mtazyfilsm
mtazinyo Tz :
huyu jamaa anamadin sana
2025-04-01 19:47:28
2
azizfocus
AZIH BWAY :
nampa zote 100 baba👽
2025-04-01 21:23:55
2
user25833706713491
king :
yuko vzr mi namkubali sana
2025-04-01 15:35:09
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About