🤣🤣🤣 wanaoangalia video hii tukiwa kitandani gonga like hapo
2025-04-01 18:07:42
1220
Ikram :
Msukuma unae jikubali gonga like hapa
2025-04-01 11:05:17
542
Prosper🚫📌 :
daaah tunajenga mijengo ila ukisha oa daah nyumba inamilikiwa na mwanamke hata ndugu zako wanaweza kufukuzwa kwako😁😁😁😂
2025-04-01 12:31:05
202
Nubian :
best content creator in Africa 🥰🥰🥰😘👌
2025-04-01 13:18:47
75
@John :
samaleko shemeji🤣🤣🤣
2025-04-01 12:19:37
14
Emma Steve💪💪 :
Huyo dada anaroho mbaya bhn unamfukuzaje rafk wa bwana ako ivo
2025-04-01 15:08:57
32
K.M :
rafiki yangu sianateseka😂😂😂
2025-04-01 10:47:34
3
erick_clemens :
eeeheeeeee home boi 😂😂
2025-04-01 15:43:55
6
verified1402 :
Mwanamke yuko sahihi kabisa,huwez kwenda kwa nshikaji wako na yeye hayupo unataka nn kwa mfano? Me hata kuwa na namba ya mke wa demu wa mshikaji wangu siwez kuwa nayo ya nn au unaifanyia nn?
2025-04-02 05:31:31
42
MR PARIS☎️ :
YAANI WANAWAKE BHANA ETI WAKIOELEWA WANAJIMILIKISHA MPAKA NYUMBA 😂😂
2025-04-01 12:35:12
8
Mēmè³ :
alafu shem hana adabu anamuwekea vpi kifua homeboy 🤣🤣🤣
2025-04-01 12:34:32
11
gee🦋💋18 :
tunaoangalia hii video tukwa kwenye free wifi😁
2025-04-03 10:35:47
72
Alirama3* :
wanao amini wanawake wa aina hii wapo like hapa
2025-05-19 04:48:54
5
آحمد :
Yuko sahihi.100%
2025-04-01 16:34:59
2
one love❤ :
mnae mkubali ngosha Alex gonga like♥️
2025-04-01 12:17:49
3
Qn love ❤❤❤ :
😂😂😂nimecheka hadi machozi yamenitoka
2025-05-27 19:41:16
1
Itamibi boy :
hiiiii iko pw sn
2025-06-19 14:14:00
1
kapeperefu :
ngoshaa the best actor😂😂😂
2025-05-30 14:26:03
2
Princess twinx :
Et basi toka ww mimi nikae😅
2025-06-21 16:41:15
1
MADAM JACKLINE PESA ONLINE 👇9 :
Wanaoangalia video hii wakiwa kwenye kiti alafu Wana wi-fi ya bure gonga like hapa
2025-06-17 16:35:59
1
ELITE SPECIAL FORCES(ESF)⚔️ :
Kunyesha home and away 😂
2025-04-01 12:44:49
3
Zainab :
😂😂😂😂😂ila ngosha were
2025-04-01 21:37:09
1
Abeid Ali 76 :
Afu she ana nguvu sana, hivi hii kweli ama acting 🤣🤣🤣
2025-04-28 21:26:53
2
Obby_ Studio :
kwa hiyo umeolewa wewe hili Sisi Wana tuteseke😀
2025-05-17 11:07:49
1
To see more videos from user @ngoshaalex, please go to the Tikwm
homepage.