@meneja_pacheko: JAY COMBAT LIVE SHOW IN RONGONI BEACH RESORT @JAY COMBAT W.B.C @jetty mc @Diamond Platnumz @djmushizo_Utawauwa @kibwanashomari15 @mbili tatu sairol @billnass @SALUH 🐰 @young africans sports club @MARIOO @Mbosso Khan
atakama sio mond ila eshoma iwepo stage isiwe kam seemu ya mduaraa
2025-04-02 20:34:51
11
🦋 habby Official 💗 :
uyo alievaa suruali ya pink na boksa Nyekundu anavitako kama soksi😂😂
2025-05-27 16:21:30
0
BANDIKA64🥰⚡🪽⚙️ ابو صافآ :
pesa lazima uzitie kwenye pumbu apo😁
2025-04-03 13:03:22
1
wakili kazi maalum :
izo nguo zipumzishe sasa kila show izoizo
2025-04-07 04:27:04
0
Zulfat Mpuya :
jmn walinzi muhimu kaka hali c shwali sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-17 14:11:49
0
J@¥ w!zz¥ :
unajua mzee wa kwa heshima
2026-01-24 22:33:39
0
Lymo :
No bodyguard and they behave,
2025-04-02 21:42:54
68
seif matata :
jichanganye uwone kuna wanajeshi kama wote apo unapajua rongoni wewe
2025-04-03 07:15:53
10
Baby B :
nimeibiwa cm yang apo janaa😢😢
2025-04-02 22:52:26
8
nuru mnyamwez :
ukiwa hapo usisahau kile kisu kidogo Cha kukatia vitunguu kuweka kiunoni 🤣
2025-04-03 14:07:49
8
Herry jacko :
Jamaa yuko humble
2025-04-04 19:52:47
6
𝐢𝐧𝐜𝐡𝐀𝐫𝐠𝐞 :
Msanii amepoa kama robot 😏
2025-04-03 10:11:58
5
JOFFLAGER :
HII BICHI NI YA MASELA TUPU ULONGONI HAKUNA MSTARABU HUMO NI MACHURA NA MASELA TU
2025-04-03 09:11:19
5
Yule Tajiri Kutoka Gwantanamo :
Wengine mpka wanaskia kuhara kwa stage cheki suruali ni mavi tupu zinataka kuwatoka
2025-04-02 20:30:34
4
FOREX MONEY :
D Voice is Typing😁
2025-04-03 17:11:27
3
R BRAND🦅 :
ii beach utasema hakuna usalama ila jichanganye
2025-04-02 20:33:07
4
Official Lil Mo :
Nakubali hajui kujiskia angekuwa mond hapo ushabebwa na bodyguard 🤝💪
2025-04-02 14:19:23
3
jackysalon77 :
Ndo shida ya singeli 😂😂😂 yan fujo tuu
2025-04-04 23:56:14
2
🇾🇪YemenGhost🇾🇪 :
jamaa anacheck nyuma kama kuna baunsa moja aje amsaidie. ukitizama nyuma bila bila 🤣🤣
2025-04-03 11:07:38
2
Shedrack Isaya :
kwa heshma menej shoo bas chilakale kabla ya tarh 10 mwez wa 4 tume mmic jay moro
2025-04-03 09:15:26
2
Johnson :
jamaa yupo royal sana
2025-04-03 05:08:26
2
OlatinoTz :
SOMA COMMENT YANGU
TEAM YOTE YA JAY COMBAT
SHOW SIO WATU KUPANDA JUU MNAHATARISHA MAISHA YA MSANII WENU WASANII WA SINGELI WENGI WANEKUFA
UKITAZAMA KWA MAKINI HAPO
JAY COMBAT ALIPATA WASI WASI SANA
2025-04-08 08:27:42
1
Gee :
RONGONI bhn😁
2025-04-03 07:17:10
1
D MONEY♦ :
wawe wanashusha mashabiki jukwaan
2025-04-03 11:15:13
1
izadinrasheed :
@Mani Brown @don abdul @just_being bakary🩷🫰🏻✨ @MuindiO @Island girl🏝️ @Snyder🌸 @MTASHI @Mbaluka @Thicky_Lou mtakuja niwaalike ama lazima mtembee na simu zenu😅😅😅
2025-04-03 08:13:08
1
Ma voice🥰❤️ :
Uwe na loho uko kwenda
2025-04-03 08:14:18
1
SAVAGE24🥷 :
tiles kwenye jukwaa😂
2025-04-03 06:08:42
1
gidie47 :
aliemuona dada hapo mbele kwenye Kona gonga like😂
2025-04-07 11:26:20
1
G.i.a.n41 :
Ao fake supporters washa shiba pombee apo bc tafrani😂😂
2025-04-04 01:38:57
1
Kitolo :
nijatar sana hao ni panda nikuhatalisha usalama wa msanii haiku saw
2025-04-03 00:19:13
1
BARAKA :
watoto wa moro uwambii kitu na dred kichwani
2025-04-03 15:54:36
1
Willy Mjukuu :
huku ukienda inabidi uvae soksi ndefu kama mabuti kila k2 unaweka uko pisi ikikuuliza naomba uninunulie bia unamwambia subiri kwnza niende oani kumbe unaenda toa kibunda😁😁😁😁
2025-04-03 18:16:37
1
OfficialKinzRoy :
🔥🔥🔥
2025-04-04 13:16:45
0
johnii :
hii sas ulinzi wamezinguwa brandi hìii
2025-04-03 21:04:00
0
ice 𝗸𝗶𝘇𝘇𝘆45 :
ivi nani anamuona uyo dada apo nae selenge eti😂😂😅
2025-04-03 23:43:12
0
Halima Saidi :
afu wamilk wa beach wanajesh na ndo beach ya masela
2025-04-05 04:45:44
0
matiac🦺🦺🪖 :
kk tafta bodyguard ona sasa wanavyoharibu
2025-04-04 03:59:38
0
Hon. Hardley Erasto ✅ :
ishaakubaliwa hii🔥🔥🔥😂
2025-04-04 05:59:07
0
One Africantalk :
👍👍
2025-04-04 08:59:23
0
Mr Unicorn :
Big up Tanzanian, this guy will make it to the top believe me
2025-04-04 10:57:54
0
Feisal 972 :
dah ilinikut hii
2025-04-05 03:44:28
0
Muddy Tz. :
Jichanganye ck tu uwone maji uwite mma
2025-04-05 02:31:21
0
Muddy Tz. :
Kigamboni
2025-04-05 02:30:04
0
Dokuz 💎🔨 :
kwa heshima 🔥✌🔥
2025-04-04 15:15:34
0
kimimi j. :
Aya ni mambo yangu nakumbuka d voice tu apa
2025-04-04 13:39:33
0
Eddy Cudo :
Kawee imejaaa jukwaan kama ndo wenye show
2025-04-04 13:44:21
0
bombwejr :
ila wahuni wote wanakutanaga Rongoniiii Beach kigamboniii 😅😅
2025-04-04 14:11:00
0
SIDEBALE :
WAZEE HII BEAT NI YA MOTO KUMAMAQE
2025-04-04 14:25:31
0
yusra_hinatz_ :
kwa wajeda hapo ukijitoa akili ni kichurachura😅😅😅
2025-04-04 15:41:38
0
2froc ?𝓈𝒶𝓃𝒾𝒽𝒾𝒾user66555 :
Uyu ndy muuni saaa wengine wanaonga
2025-04-05 09:57:01
0
Nahya Omary :
Jichanganye apoo mmmh
2025-04-04 15:25:18
0
Johary Yasiny :
myngu ndo mliz wake
2025-04-08 09:35:49
0
To see more videos from user @meneja_pacheko, please go to the Tikwm
homepage.