@abuu__dubs: #foryoupage #funnyvideos😂 #foryoupage❤️❤️

Abuuh
Abuuh
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 April 2025 09:59:20 GMT
93952
7026
1295
132

Music

Download

Comments

luram6
furaha :
kitu ninachoamini ni kua mume wangu yupo Mahali na hatujameet Kwa vile wakati wa mungu haujafika..
2025-04-03 15:25:18
124
mr.qabir265
QABIR ⭐。⛎ :
TikTok is better than girlfriend💯
2025-04-03 12:06:19
55
zahroun84
zahroun❤ :
kwani nyie mnaanzaje kiachwa siukiona mtu anazingua unamove one hraka kbla ya kuachwa🤣🤣🤣🤣
2025-04-03 14:50:58
13
sheyally2
chosen one🌹 :
Bora nipo mapumziko moyo wangu nimeamua kumkabidhi Allaah doooh 😔😔😔
2025-04-03 14:29:58
30
aisha.masoud3
Aisha Masoud :
wangu cheated on me and the worst he is denying it I am the one lefting him am in the process of divorce I hate betrayal and lies
2025-04-03 17:22:49
6
salhasaid829
Salha Said829 :
niliambiwa mwanamke wangu wa peponi ila jmn uchawi upo😂😂
2025-04-03 18:39:33
5
mamugrag3
Mamu 🦋🦋 Grag :
Alivyokuwa ananiaminisha sasa bila me kutaka mh😔 ukapita mda t akaanza kunichamba yeye na mwanamke wake mpya kibonge 😂
2025-04-03 14:52:16
11
nayommy28
Neymar ✨🥰 :
Sio vizuri kusononeka, shukuru kwa kila jambo Allah ndio mjuzi wa yotee
2025-04-03 14:27:25
14
halilatee
halillah🦋 :
nimekuja😂💔 akaja na mwingine akaniambia hvyo hvyo na nikaamin na akaniacha vile vile 😂😂😂
2025-04-03 11:12:00
4
thumaommy2
amara :
sikutarajia kbsa ...lkn Bado cjkoma natafuta😂😢
2025-04-03 14:19:43
9
mwana.amina.clothi
sweetpie :
nilishukuru nilichetiwa na Mimba akapeana juu ,sai natafuta pesa nili move on 😂😂😂
2025-06-02 14:28:58
2
unahmo26org
unah-tz :
aisee kweli love is not a basis need acha tu tupumzikee maana adi ukweni tumefika na tukaachika😅😭
2025-06-22 03:59:27
1
nyevu002
ch❤️tot❤️🇰🇪🇰🇪 :
tulisononeka mpka mioyo imezoea
2025-05-14 15:49:19
2
amimaa27
Amimaa :
Abuu swali kwanza tutasononeka baade
2025-04-04 12:32:22
2
binisnacosmetics
Binisna cosmetics :
🤣🤣🤣🤣kikao saa ngapi
2025-04-03 14:53:31
6
officialdjmuller
图片 :
yeyeeeeee! nibalaaaa enyewee 😅😅😅
2025-04-03 13:30:11
2
abuuhamzah2
Kidhenge Hamzah🇹🇿🇲🇦 :
mimi naandike nini?😂
2025-04-03 10:51:04
1
user2850517281878
user2850517281878 :
nilipendwa had ndugu zake walaogopa kunambia maovu ya ndugu yao kuhofia ndoa itavunjika baada ya kuvunjika ndo nikaanbiwa maovu yake daah niliumia san
2025-04-17 14:01:46
3
user7583832341399
user7583832341399 :
Allah atatupa was kheri nasisi in shaa Allah
2025-04-03 17:06:53
3
queendijjer1
𝑳𝒊𝒕𝒕𝒍𝒆 𝔰𝔱𝔲𝔫𝔫𝔢𝔯🕊 :
aliniahd kabxaa atanioa mwaka huuu , ila kanyamaza gafla😌😌😌
2025-04-03 12:44:37
4
msmina594
Msmina♓️ :
😭😭😭😭😭😭😭💔yan akasema mpka umenilogaa nikiwa na mwanamke mwengne hisiaa sina kumbe anafany matusi mbwa uyo ndo maan mfupi kama mavi ya kumalizia
2025-04-03 14:13:43
4
kimsarang367
kimsarang😇😇 :
acha nilie tu maana naona kuishiwa nguvu tu 🥹🥹🥹🥹
2025-04-03 15:48:25
4
user14979014188162
madame shamy :
nilikuw najua mm pekeangu mshenzii yulee alaaaniwe asipate furaha maisha yake yoteee😭mungu amlaani mtume amshindilie shetani amdidimizee
2025-04-04 20:00:12
2
radhiabubakar
radhiabubakar :
Namagoti juu huku akilia😂😂😂ila wanaume🙌😂
2025-04-03 20:09:13
2
mairaa5408
Anfal :
uzuri mm tapeli wa mapenzi huwa nawajua mwanzo akinidanganya na mm namdanganya akiniacha na cheka haswa maana ni usanii juu ya usaniii🤣🤣🤣🤣
2025-04-04 18:53:37
1
To see more videos from user @abuu__dubs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About