@oumarbulla: 🆕️ Kamanda mkuu wa Polisi mkoa wa Tabora RPC Richard Abwao amesema ni kweli walikuwa wanamshikilia Afisa habari wa klabu ya @yangasc Alikamwe tangu jana saa 7 Usiku. Kwa sasa wamemuachia kwa dhamana na atatakiwa kuripoti kituoni tarehe 21 mwezi huu kwa ajili ya taratibu nyengine. NGOMA BADO NGUMU. #bullasreports #fypreels #fypage #fyp #yangasc #yangasc💚💛 #kenyantiktok🇰🇪 #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #viral #ugandatiktok🇺🇬 #hatuchezi #bullasreports

Oumar bulla
Oumar bulla
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 April 2025 13:21:53 GMT
104808
1680
84
174

Music

Download

Comments

chusseboywcb
Chusse Boy :
walikamate tu halina mipaka linamzarau paka baba yake boya Sanaa unapotoa maneno toa namipaka mropokaji sijui kisa anaishi kwenye maji machafu
2025-04-03 21:45:14
6
muddykijojikukukienyeji
𝐦𝐮𝐝𝐝𝐲_𝐤𝐢𝐣𝐨𝐣𝐢🐔🍗 :
kwann mkuu wa mkoa ajihusishe na mpira
2025-04-03 17:12:16
2
user2938276075160
tuvana msifun :
boya huyo
2025-05-27 14:29:10
0
luchanganyamasali
luchanganyamasali :
Unayemtukana Rpc Abwalo ukome huna heshima wewe unafikili kulinda watu mkoa au taifa kwa ujumla kazi ndogo
2025-06-12 20:12:59
0
fardaallymohamedi
Farida ally mohamedy :
kamdomo kimepoza
2025-04-06 14:50:18
0
namba.e5
kichaa wa njombe forest 🌲🌲🌲 :
mtashika san kuma nyie sem ulichukia kuhusu kombe yy anamwongelea hamed al saw nyie mabweg
2025-05-27 07:25:23
0
rehema.chapauling
Rehema Chapaulinge :
mambo ya kulelewa na mama bila baba ndivo yalivo maana utamuona tu mtu kwenye jamiii
2025-05-27 00:49:59
0
aysher3788
aysher❤️ :
mwambieni na uyo chuchu nae aache kuingilia mambo ya mpila
2025-04-03 16:44:25
1
recca_princess
Rebecca :
kiongozi kaingiaje mchezoni, kutaja mamlaka ya uteuzi kamwe alimaanisha haongei na mkuu wa mkoa kwa nafasi yake ya uteuzi bali kama msemaji wa Tabora.
2025-04-04 02:49:46
1
luchanganyamasali
luchanganyamasali :
Abwalo TBR hakuna matukio ya marakwamara unafanya kazi yako vzr jemedari endelea kuchapa kazi na kazi iendelee
2025-06-12 20:16:43
0
peradius.paulin
Dgo smart the done💪💪 :
acheniii usenge
2025-04-04 04:34:38
3
dogo..pacheo
abuu.hamad :
mkamateni uyo musimuachie hakufuzwa malezi na mama yake kwann haeshimu watu wazima uyo atatusumbua
2025-04-03 21:21:44
2
user7624963148401
user7624963148401 :
safi sana
2025-04-04 07:00:59
1
user8687128460998
focallistic star shine :
polisi mumeixha tuchoxh , kwan mkuu wa mkoa hap tanzania yy ninan mbona ni mtu mdogo sana
2025-04-04 06:12:25
1
user1488547595319
shadya :
Acheni chuki zenu,za kisiasa,Aly kamwe utabaki kuwa wew daima milele huna mpinzani,,Nawachukia nyie,polisi ila Mungu atashuhulika nanyi TU,Mtot wawatu kakosa nini mnamtia mikosi TU, Ally kamwe wew ni,
2025-04-04 11:08:17
1
issa.samhenda
issa..samhenda :
safi sana afande mpeni adhabu✌
2025-04-04 12:44:07
1
isayamkoni
Isaya Mkoni :
jamani hakuna namna ya kumuweka sero hata miaka2 maana amezidi kamdomoo
2025-04-04 04:57:03
1
user3440759498045
masoudy :
sukuma ndani akajifuze usemaji
2025-04-04 03:00:29
1
kelvin.damas
Kelvin Damas :
😳😳😳
2025-05-27 04:32:54
0
rommy.g3
Rommy G💝 :
katakufa haka kila siku kesii
2025-05-27 05:23:22
0
mussakaleya5
mussakaleya17 :
🥰🥰🥰
2025-05-27 05:33:38
0
selengeoooooo
omari :
awe namipaka
2025-04-05 20:35:48
0
faimu.khalfan.rash
FAHIMU KHALFAN RASHIDI :
sawa sawa safi sana
2025-05-27 09:45:06
0
daniellukas9375
daniellukas9375 :
👍👍👍👍👍
2025-05-27 20:03:54
0
maryanissufo
nayfat :
musinge litoa hiloo
2025-05-28 08:44:26
0
leylatotty44
leylatotty :
kwann haogop na pia si ahame tu Utopolo
2025-05-28 19:12:32
0
leylatotty44
leylatotty :
maneno ya uchochezi anayo
2025-05-28 19:12:47
0
leylatotty44
leylatotty :
kamdhalilisha mama
2025-05-28 19:12:52
0
makanyagasalimu
Makanyaga Salimu :
wek ndan
2025-06-10 05:54:13
0
aisha74028
Aisha :
majambazi yanawashinda kazi kukamata wasio na hatia
2025-04-04 05:57:26
0
ombenivictorieuse3
ombenivictorieuse :
😭😭😭🙆🙆🙆
2025-04-03 22:47:45
0
petrolukaz
petro lukaz :
amezid kweli sas rahiz na mkuu wa mkoa inamuhuzu nin😂😂😂😅
2025-04-04 02:11:58
0
zeynul_09
Z3inul_09 :
Kwa kifungu gani Cha sheria
2025-04-04 03:30:45
0
nyati689
Nyati :
mama amuezi utani acheni kuingilia mpila
2025-04-04 04:18:52
0
gustafumgwadila54gmail.0
gustafu mbilino :
🥰
2025-04-04 04:52:15
0
joycetame2
joycetame2 :
mwambie achane na mpira utani hauwezi
2025-04-04 05:36:38
0
ayubu.msindo3
Ayubu Msindo :
nisawatu kwanialikamwe simsengetu
2025-04-04 05:44:34
0
mkurukwetutv836666
MKURU KWETU TV📸 :
mufundishen uho adabu maan ananisamu kbsa
2025-04-05 08:42:47
0
jumamajaliwa0677629711
juma nyanzala42 :
kwann mmemwachia jaman wajinga kama hao sio wakuachiwa
2025-04-04 06:22:56
0
ambokile.shola
Ambokile Shola :
☺️☺️☺️
2025-04-04 06:25:07
0
user14400830020674
junior💪💪💪 :
wale walikuwa wanaongelea mpira so kingine
2025-04-04 11:08:43
0
awussanpesa
awussan :
🌹👋Hello dear ukipata mda nitafute Whatsap 0794138004 , nikupe mchongo utanishukuru badae
2025-04-04 12:46:41
0
aminamrisho431
Amina Mrisho :
😅😅😅😅💋💔♥️👍👍
2025-04-04 18:36:28
0
funga.lucas.franc
Funga Lucas Francis :
yanga wKISHINDa tu tYAal
2025-04-04 18:58:45
0
iaitnessnesfoli
Iaitness nesfoli :
msizalilishe basi katukana katukana sasa wangap wanafanya maovu lakini yanapita ty
2025-04-04 19:31:37
0
user1510284088183
user1510284088183 :
😂😂😂😂😂
2025-04-04 19:37:43
0
To see more videos from user @oumarbulla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About