@peshyluv: #mwanza #tanzania kwa hiyo hiki ndio kinywaji cha wadada 2025? Mwanza zinapatikana kwa PHD Liquor

Pendo
Pendo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 April 2025 15:04:50 GMT
103843
2648
210
484

Music

Download

Comments

sabra_tz
Sabra :
Naombeni mniandikie inavotamkwa kwa kiswahili ili nisije kujizalilisha 😂😂 ni bruta au bruto 😂
2025-04-04 09:31:05
19
ms_gijcosmetics55
GIJ COSMETICS KARIAKOO :
hamjatumia breezer nyie wadada😁🥺
2025-04-04 11:34:47
7
yusufshesikh.01
Yusuf Sheikh :
kwaheri ice karibu haka Ka brutal😁😁
2025-04-06 13:46:32
2
mashy5672
🧠🍁 :
Sweet or dry?
2025-04-04 12:33:55
2
arapha2000
Arapha2000 :
Nzur vby mno
2025-04-03 20:28:54
3
queen_collection_tz
queen_collection_tz :
Shngp tuanzie apo😅
2025-04-12 09:01:07
1
christophersuzane
mama aika :
bei
2025-04-03 16:30:20
4
happypeter93
happypeter93 :
nilipiga nane nikaonasisikii chochote kichwani kama nakunywa juice tu nichukua domp nikawa na mix by yas apo sasa ndio nikaona nimeanza kuchangamka
2025-04-06 14:08:32
1
tinashe_kinabo
tinashe_kinabo :
Nitaijaribu😍
2025-04-04 00:38:51
2
diarose08
Diarose🌹 :
kwan kana fanyaje ako
2025-04-11 17:40:04
1
staylight06
Stayhumble 🩵🌸 :
missing Mozambique 🤣🤣🤣
2025-04-04 18:30:57
1
king.kiss.kiss
Beib-kiss-kiss 👩‍❤️‍👩 :
shida ni ndogo marafiki wakinywa izi wanatutia hasara
2025-04-07 19:11:50
1
mimahtiffah
mimahtiffah :
% ngap
2025-04-03 17:25:04
2
itz.nehylan7
✨ ꧁༒☬NehyLan☬༒꧂ :
jaman vikifika dar mniambie maan Kila sehem nauliza hakuna😌
2025-04-15 12:12:28
0
konk6262
Love❣️ :
nitam kama soda ama
2025-04-06 15:02:17
1
me_malice1
Queen_malice💜💜 :
mbona tunyama tudogo thatha. sijapendaaa😂
2025-04-05 14:40:23
1
cecy.njoroo
Cecy njoroo :
hii bia imebalikiwa kuliko bia zote ni hatari🔥🔥
2025-04-12 15:42:28
1
happu450
Vivian mustaf@ :
ninunulie shhoga
2025-04-05 15:28:09
0
shangaz2024
shangaz :
Mimi nimezipenda huamki na hangover au kunuka midomo kama ukinywa bia
2025-06-29 08:09:39
0
ny_mom23
🌸Ny’s mom🎀🫧. :
Ni pombe et?
2025-06-27 15:11:30
0
55tresie
ms teddy🧸 :
hata aileweshii hii imejaaa misukar tuu
2025-06-28 15:42:09
0
mam.msusi
Mam Msusi :
kwa mimi nalewa ngapi itakua🤔
2025-06-16 19:31:49
0
gladnesmmbando21
Gladness mmbando :
hiiii kit haijafika moshi walaah
2025-06-08 14:53:17
0
annastazia533
annastazia :
zinauzwa shingapi baket
2025-06-02 10:03:46
0
veronicka.vedasto
Veronicka Vedasto :
anaejua iringa zinapatikana wapi anambie
2025-04-05 16:55:54
0
To see more videos from user @peshyluv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About