@prophetipm: MANENO MAGUMU

@Prophetipm
@Prophetipm
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 April 2025 16:30:00 GMT
96096
7198
262
665

Music

Download

Comments

scavenger573
scavenger :
daaaah haya maneno ni matamu sana ila ww kama ndugu jiandae kisaikolojia maana hutapata Tena msaada
2025-04-04 13:59:10
10
deroshi_tz
MJOMBAA :
ni maneno magumu lakini yatakusaidia....🌹wenye akili wataelewa hapo kwenye ulipo sema ukiwa chini ni ngumu kumnyanyua mwingne🙌🙌🫡
2025-06-18 13:54:10
8
victche525
Victemm@ :
sawa🥰 Nimekupata
2026-03-22 01:55:35
1
branham101
Branham Orido101 :
Mjomba Katole upitie huku😂
2025-06-21 21:01:49
2
user694095450888
NELSON ALISTIDES :
ningependa kujua pasta kwann ulitoka kwenye wislam na kuokoka
2025-04-04 10:01:28
4
nyaki807
nyaki :
hiyo nimwipokea kikao cha wanaume kimenibadilisha
2025-07-16 07:47:26
1
mengi.ngalama
mbole ngalama :
baba yanguu huwa unanijenga sanaa
2025-04-03 21:16:12
4
lovesson7
Emmanuel Machimu kwanza :
Kama hujapanda maisha umeelewa ujumbe huu na utaufanyia kazi TUJUANE 💪
2025-07-14 14:12:34
1
frankie_mechanics
frankie_mechanics :
Huezi kufanikiwa💔 kama ukiwa una roho nzuri😹
2025-07-22 12:22:27
3
bk.w28bnd
BKW28 :
uwe unasogea pembeni na yule wa kinanda tumuone mtumishi
2025-04-04 08:26:09
3
user35691284763344
Stephen chacha :
nigependa tuonane kwasababu una kitu ndani yako nabii umenifunguwa sana kiakili thank's
2025-04-13 07:31:38
3
matthieumutebe7
matthieumutebe985 :
kweli
2025-05-13 07:20:48
0
benjamin87625
benjamin :
mungu akonakusudi kukufanya mchungaji
2025-11-08 21:00:14
1
machaku70
Machaku :
umefanya nimekumbuka maneno ya babaangu
2025-06-20 20:12:31
1
user579991180083
Nguvu ya soda 🥤 :
hiii nimeigudua sasa goja tuone sasa kama watapata tena
2025-07-03 10:25:35
1
user5487794617592
joelijelemia :
baba nimekuelewa
2025-06-10 17:51:35
1
user2260766591802
TikTok :
Imeongea dhahabu
2025-07-10 18:14:13
1
jenipherbunza5
jenipherbunzari :
mjomba Charle muache kwnza!
2025-09-08 14:09:16
1
danny_builders
Danny builders :
kabisa
2025-04-04 07:57:43
2
moses.mutua29
msa :
💯💯❤️❤️❤️❤️in Jesus name 🙏
2025-04-03 16:58:16
2
nathanielrupia
Nathan :
umeongea point sana lakini shida ni moja huna garantii ya kutopata matatizo , tunaishi ktk koo ambazo ukiugua gonjwa kubwa ss hivi unachangiwa maana huna hela ya kujitibu . tunatakiwa kusaidia kwa uwezo wetu yaani saidia lakini usisaidie kiasi cha kujiumiza malengo yako .
2026-09-16 08:48:41
0
muhasa.mayarwindi
Christian :
kweli
2026-09-17 10:29:47
0
meda1672
Meda🌹🥀 :
😂mjomba charee
2026-09-14 14:45:37
0
mererenazoo
mererenazoo :
Amen
2026-05-17 12:27:55
0
djarafafanny
djarafa :
ndoo nime elewa sasa pasta , Asante kwa mafundisho
2025-04-04 20:06:35
0
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About