@kihobe2026: #CapCut History of zanzibar sultanates #zanzibar #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers #tanzania #fyp #fypp #islamic #muslimtiktok #swahili #islamic_video #views #men #women @NURU YETU @KIHOBE MAN DULLA 2025 @Nuru Yetu TV

KIHOBE 2026
KIHOBE 2026
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 03 April 2025 16:23:23 GMT
78717
2890
133
750

Music

Download

Comments

safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
huyu muongo ,lengo lake kutukana waislam waarab na kutetea mashia Iran hata Iran nisawa na wanafiki watawala waarab
2025-04-06 09:23:59
2
user2194624125669
nepal :
HIZI DINI ZOTE NI BIASHARA ZA WATU UKITUMIA AKILI ILA USIPOTUMIA AKILI UTAONA UNAENDA PEPONI KUMBE HUKO KWENYE MFUMO WATU WANAKUTUMIA KWA MASLAHI YAO
2025-04-04 08:13:56
0
user3851232923045
user3851232923045 :
hayayusaidii chochote upuuzi mtupu ww mwenyewe uyahudi umekukaaa
2025-04-04 07:38:22
0
dhulqf
user4779430252889 :
tushikeni silaha AKA bunduki. ( jihad)
2025-04-04 03:50:27
2
user8606312617912
user8606312617912 :
Kama wewe sio Intellectual uwezi kumuelewa au utakimbilia kumpinga tu kwa sababu za emotions tu.
2025-05-01 04:28:12
2
iddalihussein
iddalihussein :
Asalam aleukum warghmatullah wabarakatu sheikhe wangu, Naomba video zako full, inshallah, MASHALLAH darsa nzuri current affairs. Barakallah sheikhe
2025-06-13 21:26:33
1
abdul.suleiman8
Abdul Suleiman :
mashallah shehe wangu wa lamu allah akupe maishq marefu amini nitakiluja kenya inshallah
2025-05-04 18:48:15
1
allyaffan
Ally Affan :
kichwa hiki mashaallah
2025-04-21 04:42:24
1
mtumwaantony
Mtumwa Antony :
uyu mzee bingwa wa istoria ya kweri kabisa ila aya ayafundishwi shule ndio maana watu wengi awamuerewi
2025-06-19 21:01:24
1
user18279955090255
user18279955090255 :
Viva Historian. MaashAllwah
2025-05-12 15:02:42
0
mussa.saidaq
nambraa :
asante kwa ufafanuzi wako wa kina.
2025-04-05 08:06:14
1
mustafa.ismail18
Mustafa Ismail :
sasa awachukiye waarabu kwa kipi mnapenda kupandikiza chuki mnaona warabu kama miungu watu
2025-04-17 17:29:32
1
omaromar4078
Omar Omar :
Endelea kutuhabarusha ,kwa kweli mm naipenda mada hii na ukiacha ujue ushanivunja moyo
2025-04-04 10:36:02
2
user86024327731432
sadiq :
Allwah akupe umri mrefu mzee wetu akupe siha hii leo hii ukiongea kuhusu palestine watu wanaangalia pembeni kama haliwahusu
2025-05-11 21:55:23
0
user1717943326682
user1717943326682 :
sheikh stambuli ahsante sana Kwa historia endelea usiwache. Mimi ni mjukuu wa liwali wa Dar es salaam, Liwali Hemed Swaleh Al Busaidy ambaye alikuwa babake Prof. Abdulghafur Hemed Swaleh wa Supkem
2025-04-05 06:39:36
1
user2579666547349
Mzalendo :
Mngeanza kujichunguza wenyewe kwanza... Asili ya arabic supremacy na Financial backup from Rome ingewasaidia sana kuliko kuruka historia na kuanza kuwasema wale walio mbali
2025-04-05 06:21:59
1
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
huyu si msomi kwani hana suluhisho lolote anataja matatizo tu lakini hana suluhisho zaidi ya kuwaona Iran ndio watetezi wa uislam na uhakika wanatetea umajusi tu
2025-04-06 09:25:31
0
anthonymwathi531
anthonymwathi531 :
Binadamu alizaliwa na atakufa,hapa katikati tumepewa nafasi tueneze mapenzi..na tufanye mungu aliyotutuma..mkumbuke .Mungu si muislamu na si mkristo🤗
2025-05-14 22:42:30
0
allyaffan
Ally Affan :
hao ni maadui wa ubinaadamu ni mazayuni mashetani
2025-04-21 04:42:53
0
user4929030255959
user4929030255959 :
sikiliza ukiona uwezi wako wa fikra ni mdg ,bc usibeze
2025-07-01 20:35:21
0
mum82210
Mum🌹 :
MaashaAllah!!!!Sasa ninyi ndio viongozi wetu mwayajua yote haya- Fanyeni mikakati tujinasue Badala ya kutafuta viewers mitandaoni or show off (i know )
2025-05-29 11:55:28
0
dagboyseven777
dag boy 7$even :
Huyu Sheikh ni msomi...
2025-04-28 21:07:24
0
sheby_mtk
sheby_mtk :
full video ipo wapi YouTube sijapata labda title nimejidanganya mwenye kujua plz
2025-05-08 11:18:11
0
mokham754
Mokham :
mashaallah 😍🥰
2025-04-04 12:06:53
0
To see more videos from user @kihobe2026, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About