hapo hapo mnasema kufua na kaz za nymba ni wajib wa mume na cio wajib wa mke, mke yy akifanya ni ihsan
2025-04-20 11:39:21
5
ruqaiy🦋🦋 :
saw kabisa
2026-10-05 10:36:02
0
Aisha 044 :
mashallah 🤲 nikweli umesema kitu
2025-04-21 22:13:06
12
KATASHY :
Acha kugusa nguo hata mfanyikazi mwenyewe simtaki 😂😂😂😂😂😂
2025-05-14 13:54:21
3
user91940368250 :
ela warabu hawayajui hayo 😂😂, boxer twazifua daily, mke bila aibu anampa chupi zake mfanyikaz afue 😏
2025-04-21 20:34:15
3
mamoo752 :
mie simwachii mfanyakazi kumuwekea chakula wala kumuwekea maji wala kupika yeye kazi yake kusafisha tu kila kitu nafanya mwenyewe si kila kitu dada mana wanaume mtihani
2025-05-18 22:57:41
1
Salha Ahmed :
yamekukuta nn shekh
2025-10-03 10:21:23
0
Sheru2 :
Sheria ya Dini haikulazimisha mwanamke kuwa mtumwa wakazi.lakini Wanawake , Nguo ya ndani ya mumeo afue mfanyakazi?, chakula atenge dada? kutandika kitanda , Dada?.chai Dada,kaka anenda kazini dada anafunga mlango 😂😂, sheikh wape Darasa. Ninge kua mie na oa kabisa.😂😂 sio kazini.
2025-05-17 11:16:12
2
user3614546973234 :
ma hause giri mpoo peleken atatus moja kwa moja 😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-05-28 04:54:32
0
uDe :
siyo hawa kina kasongo wa sasa
2025-06-22 14:33:34
0
Hamis Mnende :
sahihi kabsaaaaaa
2025-05-08 05:04:47
0
hawah :
baba tumeyafanya na zaidi ila hawajielewi hawa. pamoja na kulipa bills
2025-05-17 16:34:59
1
Willy Qassim :
🥰
2026-09-25 19:37:38
0
strong soul :
hatagusa mfanyikazi but machine inunuliwe ya kufua😂😂😂
2025-04-21 18:59:33
6
Quin Mwanaidi :
ni kweli sana
2025-04-23 05:07:27
3
user50415110277125 :
n ukwli Kabisa thanks sheikh
2025-04-25 15:23:39
3
khrahma :
n kweli kabsa
2025-04-25 06:26:24
2
ashura salimu :
🥰🥰🥰
2025-04-25 07:28:11
1
mwakuzim :
Inavyopaswa ni hivyoo.
2025-04-24 04:05:21
2
Fatma Muhammad :
Wanawake wanaowapa madada boxer zawaume zao hawawapendi bwana zao.Na madada wanaokubali kufua maboxer wanatamani waolewe wao 😅😂😂
2025-04-30 09:39:40
2
ms shaa :
kwahiyo hawa waarabu hawako sawa😅😅😅😅😅😅 maana wanawapea wafanye kaz mpk bocsa za waume zao
2025-04-23 16:07:25
2
ukhuty khaniya :
😂 ni kweli walah
2025-04-22 15:17:14
2
Salma :
Allah akubariki shekh wetu uendelee kutukumbusha maaaan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-20 07:46:29
1
Bahati Rose :
🥰🥰🥰😁😁
2025-05-18 17:35:52
1
user4192952061498 mariam jumaa :
wacha nguo hata kupika chakula siovizuri
2025-06-06 05:51:42
1
Faidha Alnassri :
mashaallah Wala hujakosea 🥰🥰
2025-04-25 12:52:17
1
Zamzam :
ongea kisomalia ama kizungu wasomalia wasikie,,uyu nguo zao za ndani naosha
2025-05-21 06:45:23
1
HISHAM LYRICS MEDIA🇰🇪🇦🇪 :
Kwelii
2025-06-24 14:30:41
1
OKONKWO REAL :
🥰🥰🥰
2025-05-16 21:59:22
0
user3686826755851 :
hapohapo
2025-05-15 14:37:35
0
Official_nusrat :
Inshaallah
2025-05-19 15:00:12
0
ummumulhat :
hii ni kweli
2025-05-19 11:21:57
0
Somaliya :
🥰🥰🥰
2025-05-15 17:49:51
0
Rebeca 💫🏵️ :
🥰🥰🥰
2025-05-15 18:03:56
0
Muhammad :
wapashie kiporo shehk wangu
2025-05-16 05:45:42
0
Myriam kasimu :
🥰🥰🥰 mashallah
2025-05-16 14:02:06
0
قلبي 🫀 روحي ❤️ :
😂😂😂😂😂 هههههههه Shukran Shukran Shukran 😂
2025-05-16 18:03:55
0
KABULA SUKWA :
Alhamdulillah for me ,
2025-05-17 15:53:46
0
chamo :
allauu AKIBAR
2025-05-16 23:11:07
0
queen Dee :
Munafanya dini iwe nzito....
2025-05-18 18:09:36
0
user3774624901090 :
umesema.kweli.kk
2025-05-17 15:01:29
0
user571254954099 :
Ameen 🤲
2025-05-17 15:32:28
0
rich nyasuruu :
watuuu wanakuwa nawafanyakazi wakikkk eeee nimot
2025-05-18 08:25:35
0
mozah :
warabu ad chupi uwafulie
2025-05-18 05:43:11
0
Rajab Meena26 :
MashaAllah
2025-05-18 04:58:50
0
Queen B :
😂😳
2025-05-18 04:48:12
0
Tumayrahassan Aliy :
kabisa yani
2025-06-21 06:27:54
0
♥️ Sonia love you ♥️ :
🥰🥰🥰
2026-03-02 02:18:30
0
Somoe Ismail :
🥰
2025-12-25 12:18:54
0
Anataria Robert :
🥰
2025-10-11 11:04:10
0
user9577627061627 :
🥰🥰🥰
2025-10-05 05:20:04
0
Samira Abdi120 :
🥰
2025-09-26 16:47:44
0
To see more videos from user @juma_zahoro, please go to the Tikwm
homepage.