@breezynolly: TRENDING NEWS : Hili ni jambo zito, Msichana Mmoja Aoteshwa Maumbile ya Kiume Mara baada ya tuhuma za kutembea na Mume Wa Mtu Kumkabili Ilianza Kama Kipele, Baada ya Siku Mbili Yabadilika na kuwa maumbile ya kiume #creatorsearchinsights #fyp #trendingvideo #tanzaniatiktok🇹🇿 #swahilitiktok #kenyantiktok #foryoupage❤️❤️ #viral_video #for #fumanizi #ubayaubwela
Kuna umri M/mungu akikufikisha unapaswa kufanya ibada utubu..Lakini Babu/Bibi zetu bado wanakuwa matapeli,,na hivi vimedia uchwara piga chini mmiliki sukuma ndani,,,Sisi huku kwetu Kanuni hakuna anaejaribu ujinga huu,,,sisi tunapiga fimbo wote waliopo hapo mana wanasapoti hii ujinga
2026-03-04 20:44:56
8
Nawpozi🤪 :
daah camera man we fam kabisa😂😂
2026-03-11 21:49:42
8
Asia Mbuki :
nyooo
2026-03-28 00:52:47
2
mek-ap by shuu 💋💄 :
duhhhhh😳
2026-05-29 11:24:24
1
Dimple De Mo❤❤❤🇹🇿 :
SubhanaAllah!! 😭😭😭😭
2026-04-04 11:24:25
4
nurundota :
duuh cy poa
2026-05-14 21:44:45
2
matha :
ni ndef so poah
2026-03-06 06:51:28
1
abuy :
aaaa
2026-04-11 16:13:11
1
@_nerlu :
namtaka huyo mgaga wake
2026-03-02 12:19:03
3
To see more videos from user @breezynolly, please go to the Tikwm
homepage.