@luoga.mt.mtitu: Maandiko hayazuii pombe, bali maandiko yanazuia ulevi. Dhambi haipo kwenye pombe, bali dhambi ipo katika ulevi. Kama ilivyo chakula si dhambi bali dhambi ipo katika ulafi.
kuna ndivai njema na iliochacha yesu alitengeneza njema juici ya mzabibu
2025-04-06 05:39:30
7
Mr DMP :
Kwa wakristu sio dhambi ila Wakristo hatuwezi kutumia pombe.
2025-04-06 05:52:01
8
Surveyor Lovely 715 508 090 :
Mtumoshi unatoa mafundisho ya mashetani neno divai ni juice ya mzabibu ile ilikuwa siyo pombe ilikuwa divai isiyolewesha
2025-04-05 14:30:36
6
emmanuellwikyelo2 :
huyu angekuwa KKKT angesimamishwa kutoa huduma sisi huku KKKT atupendagi ujinga jmn wew padree mzma kabisa unapotosha watu
2025-04-07 02:35:48
4
Grace Phidelis :
hujasoma biblia yote,umechagua hako la kipande kwasababu wewe unakunywa
2025-04-04 17:12:31
3
lionking1 :
Divai na mvinyo ni vitu viwili tofauti.
2025-04-06 07:37:00
0
medymush :
Je, kuna tofauti kati ya divai na pombe?.......mimi nadhani ipo....
2025-04-06 14:51:55
1
bilioneachipukizi :
moto wa jehanam unakuhusu father.
course pombe inamfanya mtu awe kichaa! pombe imeharibu, maisha ya watu wengi sana., na wengine wamekufa kabisa, na wengine imewafanya kua maskini wakutupwa.
2025-04-05 19:13:49
0
sadiki mumbere :
banakuambiya kunywa lakini usipitize kiasi munaelewa kweli.hata ukala chakula mingi kinasumbua mwili kunywa yakufarahisha mwili yako
2025-04-17 11:14:34
2
rohoo safi :
my first time kukutana na maubiri kuwa bombe sio dhambi🤣🤣eti iko kwa maandiko🤣🤣🤣
2025-05-03 01:35:43
1
telesiangailo743 :
na Enjoy na dini yangu kunywa sio zambi wacha niendelee kunywa kwa raha zangu najivunia kua mkatorik
2025-04-24 18:54:14
2
user55476051525740 :
aliyeruhusu watu wanywe pombe ni kristu,ila Kristo amesema anywaye na anyweshaye sehem yake ni ktk ziwa la moto
2025-06-24 14:24:51
1
Mathayo Charles :
duuh uyu jamaa mjinga kwa kua yeye anakuywa anataka na wenzio wanye wewe kunywa moto upo
2025-04-08 10:07:25
1
jay deo :
yesu aligeuza maji kiwa divai je ni sura gan inaonesha kuwa waliokunywa divai walilewa au wapi imeadikwa kuwa divai ile ilikuwa kileo
2025-09-06 19:10:46
1
user825095337594 :
Oseya 4:11 pombe na uasherati uondoa ufaamu wa mtu, ukitaka Uwe kiwelewele kunywa pombe Ama fanya uasherati
2025-04-07 08:34:35
1
Njoroge Waringa :
Hapa Kenya kinachouzwa sio pombe bali ni sumu😩
2025-04-07 12:46:23
1
princessrose612😉😉😉😉😉😉😘? :
hiyo ya mwisho umenimaliza father ATI aiombee kabisaaaa😂😂
2025-04-07 06:33:07
1
Nico :
Huna lolote wewe! Kunywa pombe si sawa.
2025-04-06 12:36:16
1
Whitegenuos2 :
Safi baba,mitano tenaaa kama mama samia
2025-04-06 09:49:28
2
nyapinie :
Padri mlevi anatetea tabia yake
2025-04-06 06:20:53
1
Mr black boy :
tatizo watu hawanywi divai father , wanakunya k Vanti , konyagi nk
2025-04-05 19:18:48
1
bonnywacabros2 :
uyu ametumwa awaambie ukweli😂
2025-04-06 15:44:13
1
babajr603 :
nilipomskia tu anaanza kwakusema "YESU KRISTU",af nikaona ka Yesu uko juu nyuma yake nikajua apa Kuna shida,
2025-04-05 14:54:22
1
Shadrack. :
1st Timothy 5 vs 23
2025-04-06 11:38:03
1
SAO :
habari ndio hiyo
2025-04-06 05:36:34
1
To see more videos from user @luoga.mt.mtitu, please go to the Tikwm
homepage.