@halisimax: Watu mamilioni duniani wanaamini kuwa huyu ndiye mtoto mzuri (handsome) zaidi wa kizazi chake. Watoto wetu pia ni wazuri, tunawapenda, tunawajali, wanatuvutia, ilahuyu anastahili sifa na pongezi kwa neema aliyopewa na Mungu, tusiwe wabinafsi. Mungu anajua kuumba. #halisimediatz #tanzania #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansinsaudia🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyans #viral_video ##viral_video_tiktok

Halisi MAX
Halisi MAX
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 April 2025 08:42:13 GMT
831377
23726
1342
471

Music

Download

Comments

modestamichael883
👩‍🦰LIZZY BEAUTY SALON👯 :
ata wangu mzr jaman 😂😂😂😂
2026-08-10 06:25:47
28
mmafaizthequeen254
mmafaiztheQueen@254😋🥰🤩😜 :
so cute like my son 🥰🥰🥰wow
2026-09-14 16:42:34
16
rashid.isike
Rashid Isike :
mbn kabaya
2026-03-13 19:38:45
118
agner.outfit.colle
〰️rEe😈xAnjA🥷❤️‍🔥~ :
Na wangu nisemeje labda😂😂😂
2026-03-20 22:43:26
420
fettyabdy479
little girl :
my queen je
2026-08-28 23:14:29
22
ney.g63
Grace chazz :
mwanaume atae gusa coment yang namtongoza na mzalia mtoto kama uy
2026-03-30 16:41:49
60
elizabeth.william569
Elizabeth william ❤️ :
wangu namba 1
2026-08-18 11:38:22
11
priyaa07720
Thammy wears🥰🥰 :
Mungu amlinde wasije wakamfanya shoga dunia hii🙌🙌
2026-03-23 12:39:16
125
hamisiiddi637
HD SAIDI 🦜🦜🥀❤️✅ :
njooni mumuone mtoto wangu kwenye Akaunt yangu mbona sisi hatulingi jamani 😁😁😁
2025-04-11 13:10:33
86
allykilangai
Ally :
MTOTO NI KAZULI KWELI SEMA ACHA KUTUDANGANYA DUNIANI WW UMETEMBEA DUNIA MZIMA
2026-03-23 08:39:21
78
daty2649
daty :
sifa zote apewe Allah na wazazi wake
2026-04-11 13:07:52
61
janethjames813
Janeth 🥰🥰 :
my son ni Henderson
2026-07-24 14:25:48
8
kingazi79
Kingazi :
Kila mwanaume ni mzuri Kwa mwanamke anayempenda
2026-05-09 15:12:49
6
sabrat832
MRS ,,, 🥰🥰 :
mbona ata wa kwangu kazuli pia
2026-08-13 14:53:15
8
neyshedy
neyshedy :
Kila mtoto anauzuri wake
2025-04-05 08:45:14
64
duncanmfundo
D junior :
2026-07-10 14:48:44
5
greegrace0
Grace 🌹 :
Kila mtoto ni mzuri kwa mama yake
2026-05-24 14:24:13
11
glory.f.s.glory.f
glory f s Glory Frances :
kila mtu anaona wake ni mzuri ila huyu pia Hb Mungu akulinde hamna mtoto Mbaya duniani Ata angekuwa mlemavu kwa mama yake ni mzuri tu nawapenda watoto wote 🥰🥰🥰🥰
2026-04-02 21:51:38
18
mamic58
Mamic :
mie nimependa macho yake mazuri yamekaa kama toch ya kuchaji
2025-04-10 13:03:15
58
ndaro.saleh
Ndaro Saleh :
dunian hakun mtoto mbaya watoto ndo furaha ya dunia
2026-04-10 10:03:01
5
praygod14
Praygod :
SASA MBONA ANA KICHWA KAMA RUNGU
2025-04-09 10:15:34
12
tatu19873
fatuma jumanne :
hamna mtoto mbaya duniani
2026-01-18 10:04:53
6
melkizedekinjaa
melkizedekinjaa :
Ni mpole ukimtazama! kweli uzuri sio SURA bali HISIA YA NDANI YA UPOLE NA HURUMA! LIKE DAT GUY SO BEST!!!
2026-03-30 11:02:55
9
scorpion.2463
Born in Tz 🇹🇿🇹🇿 :
mimi hapa ndo wa kwanza
2026-03-22 17:50:13
9
To see more videos from user @halisimax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About