@musabenedict: MAUSIA YA MWISHO YA MOSES KILOLA #creatorsearchinsights #gospelmusicclips #goviraltrend #MTUME #NABII #NABII #pasta ##footballtiktok #flypシ #pastaseach #gospelmusicclips

Real Gospels
Real Gospels
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 April 2025 17:57:52 GMT
274541
15346
549
2296

Music

Download

Comments

gabrielmathaw
Gabo_Makingi :
uongo tu
2025-04-05 19:01:10
8
user4066684358556
Rose Gabriel :
asikofu wetu tutakumbuka daima Mungu akulaze mahali pema
2025-04-07 18:24:47
71
flown309
Flowin :
sauti tu ina utisho wa Ki Mungu🙏🙏
2025-04-07 18:25:02
132
user2036988112465
yohana :
hii ndo injili so ile yachumv na mafuta yaupako
2025-04-09 00:01:04
116
elizabethsamson99
elizabethsamson99 :
Rest Easy My Bishop Moses Kulola😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
2025-04-08 20:10:01
61
user3927827251220
boniphace22 :
Askofu huyu yuko paradiso kwa hakika alikuwa mkamilifu mbele za Bwana
2025-04-08 05:20:53
60
fruitfully17
fruitfully :
huyu kwakweli anakiti chake mbinguni
2025-04-07 19:50:07
35
avy20100
Timoavy2014 :
Bishop kulola mtu wa Mungu! najiona mwenye bahati sana kukuona na kuisikia injili yako enzi za uhai wako pale NMC Arusha na kwa Bishop Mwinzarubi hata sasa nimeokoka!
2025-04-07 20:42:59
19
mungu.ndo.kila.kit
mungu ndo Kila kitu❤️❤️❤️🙏 :
sauti ya upako hiyo 🙏🙏🙏🔥
2025-04-07 11:53:38
19
kenny.lewisi
kennylewisi :
mtumishi wakweli nawauhakika mungu akulaze mahala pema amina🙏
2025-04-08 18:00:20
8
rahelmwakimbo
rahelmwakimbo :
yupo paradise huyu mchngaji
2025-04-08 17:22:37
15
teclateckie29
T💘 :
Tutaonana tena baba yetu hakika kazi uliifanya na mwendo uliumaliza
2025-04-08 13:50:30
12
winnie.wa.steve
Winnie wa Steve :
AMINA Mungu atusadie baba upo kiroho unaongea paka mwili unasisimuka
2025-04-09 11:25:32
7
lawinabeauty1
lawinabeauty1 :
Mungu naomba unisaidie 🥺🥺🥺🥺hii sauti tu ni Mungu mwenyewe anaongea
2025-04-09 07:55:47
13
user51347016944418
Lopez's 51347016944418 :
Kwani Unaenda wapi Baba yetu wa Imani 😴🥺🤔
2025-04-08 17:36:00
5
sechesamweli530
Seche Samweli :
Kuna watumishi wengine kujua kuwa wapo mbinguni haihitaji kutumia nguvu,ametulia zake mbinguni
2025-04-08 16:31:38
9
elizabethsamson99
elizabethsamson99 :
Akifanya mikutano tulikuwa tunakimbia kwenda kusikiliza na hapo ilikuwa 90s. Tulikuwa watoto wadogo. Lkn tulikuwa tunaelewa mafundisho yake.
2025-04-08 20:03:57
14
elizabethsamson99
elizabethsamson99 :
Hakuna mtumishi wa Mungu niliyekuwa na mwamini kama Askofu Moses Kulola❤️❤️. Kanisa lake lilikuwa Bugando tulikuwa tunaenda kusikiliza mahubili yake.
2025-04-08 20:02:33
5
hakimu.wa.geto
Hakimu wa geto 🔥 :
Napenda Sana Post Zako Niliamua Kuacha Shule Ili Nikufatilie Kwa Ukaribu Zaidi.
2025-04-07 15:12:32
10
pendoluvinga316
Pendo Luvinga :
mungu wangu niponye nafs yangu nipe mwisho mwema
2025-04-07 18:21:12
10
user1416194418383
Simon fikilin :
MUNGU akubariki sana mzee napenda sana mafundisho yako hakika umewasaidia wengi kumjua YESU katika maisha yetu barikiwa sana MZEE
2025-04-07 15:38:03
13
naomithomas515
naomi :
mungu nipe mwisho mwema
2025-04-07 20:21:18
5
suzykeneth
suzykeneth :
rest in peace dady😭😭
2025-04-09 16:45:48
6
lydiakitiku
Lydia Kitiku :
Ameeen YESU nipe moyo wa rehema
2025-04-07 18:26:00
11
former.hp
Former HP :
I Thought Nyerere before listening 🤣😂
2025-04-08 15:07:47
5
To see more videos from user @musabenedict, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About