@markpointlimited: #Ironsteelslidinggate #slidinggates #ironsteelproducts Habari njema kwa wote wanaopenda vitu vizuri, usipoteze muda kutafuta sehemu ambayo utapata mageti mazuri ya chuma ambayo yataongeza uzuri wa nyumba yako na yenye uimara ambayo yataongeza usalama wa nyumba yako, fika leo @markpointlimited, upate bidhaa zitakazo ongeza thamani ya nyumba yako. Tunapatikana 📍Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo SUA na showroom yetu iliyopo Mtaa wa ngoto jirani na Top Life Hotel au tupigie kwa namba 📞0656 628 371 ~ 0652 187 098. #karibusana