@jay_combat14: KWA HESHIMA#kigambo#southbeachkigamboni #tiktokmorogorotanzania #tiktokdaressalaam #ulongonibeachresort #kenyantiktok🇰🇪 #tiktokkenya🇰🇪#zambiantiktok #wasafimedia #tbchallenge #suafm #aboodmediatz @meneja_pacheko @Kisiga Marlon @Wakumanda bab amal @pakistan konambaya 👣🦅 @halifa Imwenga @Dj kyusa dancer💻🌟 @Weeeeh Issa Dansa268 @djykisesamoro

JAY COMBAT  W.B.C
JAY COMBAT W.B.C
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 April 2025 14:41:20 GMT
817555
44025
835
473

Music

Download

Comments

s.senkondo
wakili kazi maalum :
ubadilishe nguo sasa kila show izoizo du😂
2025-04-07 04:25:58
20
bimo21933
BIMO🥀👟 :
Wanao amni wahuni wana hisia gonga like😂😂
2025-04-07 04:21:25
859
nassaryjr
Nassary Jr :
huyo wa boxer ni mpangaji wangu akishalipaga kodi lazima watu hapa wajue wote bar anaendaga adi na taulo
2025-04-07 04:29:54
515
sethsasha
sethsasha :
natam kujua ulitulia kwa kiasi gani ukafanya utunzi wa hii nyimbo mana inaujumbe pia inauma sana yan dah blessed blood
2025-04-07 05:57:33
152
kareemsoud_22
kareemsoud_22 :
Wako udongo mwili wa Nyama futi sita utazama....kisingekuwepo kifoooo 😓😓
2025-04-06 23:17:11
240
tatukipepe
Tee fragrance✨💎 :
Sisi wote wa rabana,mkumbuke sali sana iwe nuru ya kiama kesho,,utunzi bora sana kutoka kwa mtu wa mtaani🙏
2025-04-07 08:03:55
208
samigo_18
✎﹏﹏𝐒𝐀𝐌𝐈𝐆𝐎🐬﹏﹏ :
hii ngoma ilinifanya nianze kuswali
2025-04-07 05:20:52
167
johary.yasiny
Johary Yasiny :
wanao amin wauni wanaimani na mungu kuliko marajiri tujuane
2025-04-08 09:16:01
89
azizanowite
Aziza Nowite :
iiingoma naiyelewa aa saana
2025-06-01 21:18:45
2
magiimgaya01
Magiimgaya 🥀 :
Jay combat hii suruali mi naona angevua kabisaa 😂
2025-04-07 18:47:05
33
gmavoice
GMAVOICE MR.LOVELY AMANZI :
ukiskiliza kwa umakini haya maneno ya hii nyimbo utagundua siyo ya vibe niwimbo wa kukumbusha kuwa Kuna mwisho wa pumzi tunayo ringia tusimsahau ALLAH 🙏🙏🥺
2025-04-12 07:15:44
35
isiraeledimin1
iletatz1 :
Jina LA ngoma
2025-04-07 07:03:36
2
glamaccessoriesznz
G accessories zanzibar 💎 :
Singeli ndo mziki Bora east Africa kama unaikubal Singeli gonga like hapa zifke 1000🔥🔥
2025-05-16 20:36:52
5
user76148523815484
jane :
unapenda sana mashabik wako sana
2025-06-07 21:29:11
2
user62474574159487
mdada :
Kuna wachumba za watu apo mamae afu uyo mwenye boxer cijui kaka ake nani
2025-04-10 07:26:04
3
mwaya9
Mwaya jr 🇹🇿 :
hii ngoma imepenya sana
2025-04-06 18:33:26
15
vasco.mhongo
S H O P MHK🇹🇿🇺🇸💯 :
tunae mkubal jay combat tujuane ✌️😁🔥🔥
2025-06-21 08:32:40
1
dogopau
JUDE GIRL💜BTS 🇰🇷🇹🇿 :
wanahisia za haya maneno kun mtu apo anatk kupanda stage 😂😂😂😂😂😂
2025-06-05 10:21:17
1
peace_muhunda1
PEACE MUHUNDA 🇹🇿🇹🇿 :
nipe tofauti ya msela na muhuni 😂🤣
2025-05-03 09:56:18
3
nicerjoseph
veetricious joseph💓😍 :
imagine iyo feeling anayoipata muimbaji pale anaponyamaza alafu shabiki wanashuka na mistari tena kwa energy kubwa kama iyo dah😊
2025-06-09 06:46:10
1
malecha.wabongo.4
MALECHA Supply 4️⃣5️⃣ :
mama sana
2025-05-25 20:50:14
1
kid_boe12
_MIDO BOé_🖤✌️ :
ilikuwa vibe San me it aliegeuza jez ya liver naimb kwa uchung wanet kibao wametangulia
2025-04-06 18:10:10
4
ckylove1212
BROKEN HEART 💔 :
sem ii siku ilikua na vib kinom
2025-04-06 21:37:21
4
gddgrjj
last born cute ❤️ :
😂😂😂😂 Mungu ikikupendeza mchukue na huyu anae soma comment yangu kmy kmy
2025-04-09 19:23:51
1
hope1.me2
hope :
Kwa heshina✌️✌️✌️
2025-04-06 18:57:09
1
To see more videos from user @jay_combat14, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About