@4m4.2000: karibu kujifunz misemo ya busara na hekima

4M4 2000
4M4 2000
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 April 2025 04:32:18 GMT
514182
40264
352
2959

Music

Download

Comments

user5797942615308
Prisca❤️ :
ndo nayopitia kwa sasa ni kipindi kigumu sana sikia tu mm nasema omba isikupate
2025-04-10 18:35:56
71
user59471900313655
Iness :
2019,2020 na 2021 nyie hii miaka jaman 🙌🙌🙌 mapenzi,kazi,familia,marafiki vyote vilinitenga 😭😭😭
2025-04-11 13:06:42
48
naa58007
Officialnaah❤️🥰 :
Mimi nilisemwa sana na dada zangu kisa nimeachika nikaenda kuishi Kwa dada angu akanifukuza nililia nikasema maneno makali akanitukana akafuta adi namba yangu ya sim ila Leo anaishi kwangu nyie
2025-04-12 09:36:35
49
minaaabdillah0
Minaah :
Iyo hali nipo nayo sai mpka najuta kwann nipo kwa hii dunia ila usiombe yakukute walahi naapa😭😭
2025-04-10 21:46:39
20
youngjulie254
Official_J.J♥️🇰🇪 :
nilichoka mimi😭😭💔💔💔💔💔😭hata huo utu umenitoka
2025-04-22 08:01:42
14
user598787169416
Joyce :
mungu atupe Subra tunakutana na mengi😢
2025-04-17 10:00:49
3
kibstormzy
kibstormzy :
najuwa huni faham ila maisha matama uki tabasam☺️☺️
2025-05-03 21:40:54
3
mariam.segere
mrs p :
tunaemkubali huyu baba tujuane🙏
2025-05-10 07:57:20
5
wakun47
💕B💝R💜I💖I💕 :
mm sitendii wema tenaa na ikitokea nimetenda wema iwe sio mm...uzurii n moyo mzuri haulipii
2025-04-11 22:41:31
7
mariaurembo
Maria Urembo :
hio dunia
2025-05-11 12:09:43
2
kenyanlady28
miss president :
niseseme kitu juu nlishapona mungu akanibariki
2025-05-05 08:40:06
2
m160514
💕 Amina 💕 :
kosa langu moja lilifuta wema wangu wote😥😥
2025-04-12 09:35:51
5
chalzjsjgmail.com
SHICOMI TZ :
💯💯💯💯💯kweli sanaaaaaa
2025-06-03 21:32:41
2
richkhangmail.com5
young rich :
uwakika💯💯
2025-05-03 08:58:02
2
www.tiktokinnayahts
samira 1111 :
una misemo yabusara ulio toka nayo kwa uislamu, imechagua kwenda motoni kwa kujifosi mwenyewe poleni baba
2025-04-29 20:19:23
2
momofthree498
@TINAH💝💖 :
daaaahhh cjui mbona machozi yanitoka😭😭😭😭😭
2025-05-02 06:23:35
3
renny.reynard254
UNKNOWN🇰🇪🇰🇪 RENNY :
fyp
2025-05-02 22:57:04
2
user59471900313655
Iness :
nashkuru Mungu naendelea vizuri ninakazi, Mume ninae, baadhi ya wanafamilia wapo namimi ila marafiki ndo sina kwakweli
2025-04-20 07:57:43
5
user7659615581614
sarahmichael :
ninasamehe na ninalipa mema nina enjoy sana
2025-04-26 18:08:58
6
mtotoikramu
love me :
mh yani acha tuu baba yangu
2025-06-01 10:04:41
2
stone8352
Stone :
iyo kweri
2025-06-05 16:55:24
1
lilianvedastuss
lilianvedastuss :
😭😭😭😭😭mimi hadi sasaivi siongei na dada yngu na nimezaliwa naye tumbo moja🙌🙌
2025-05-25 06:56:34
4
itsmelanin09
Mrs.Melanin❤️🥰😊🥹😇 :
inauma hii kitu hasa ndugu uwih
2025-07-03 18:30:40
1
abdimsagati
abdimsagati :
nikweli
2025-05-21 17:24:35
1
jd_cake_tools
JD Cake & Tools :
Mungu atusaidie
2025-05-15 10:52:29
1
To see more videos from user @4m4.2000, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About