@kenyan_observer: Shams al-Ma'arif ni kitabu cha karne ya 13 kuhusu uchawi wa Kiarabu, kilichoandikwa na Ahmad al-Buni. Kinachukuliwa kuwa mojawapo ya vitabu mashuhuri na vyenye utata katika ulimwengu. Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali kama vile falaki, numerolojia, hirizi, na jinsi ya kuwasiliana na majini na roho. Ingawa kinasifiwa na wengine kwa maarifa yake ya kina kuhusu mambo ya kiroho na uchawi, wengine wanakiona kama kitabu hatari na cha uzushi. Shams al-Ma'arif kimepata umaarufu katika karne ya 20 na 21, na hata kimeathiri baadhi ya mashirika yenye msimamo mkali. Licha ya utata wake, bado kinasomwa na kujifunzwa na watu mbalimbali hadi leo. #trendingvideo #foryoupage #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #ghoststories #ghosts
Observer 🥈🇵🇸 🇰🇪
Region: KE
Monday 07 April 2025 08:15:26 GMT
Music
Download
Comments
Himgolden :
Shamsu l maarif 😎Mbona tumesom madrasa n nothing happened
2025-04-07 12:27:14
81
🦅🦅🇹🇿 BLACK_EAGLE🇷🇺 :
Hapana kaka kuna kubwa lao Kitabu cha IMAM AL GHAZAL AL KUBRA KUN FAYA KUN
2025-04-07 13:31:21
74
Mussa🇹🇿🇺🇲 :
kaka bola hata usingesema maana haya majini sisi ndo tunayapenda ngoja ni download nipate dem jini nipate pesa.
2025-04-07 15:54:59
126
hanin :
qurani ndio kiboko ya hito kitabu
2025-04-07 11:04:08
62
Babuu623 :
ni kulize wewe umekijuaje
2025-04-07 13:28:24
7
Zay Fashion :
KITABU KIBOKO YA VYOTE NI QUR AN PEKEE♥️🥰👌
2025-05-22 13:05:10
17
Mo28§29§ :
sasa kama ushajua hayo unatuonesha nn??watu hata hawaijui ww unawa sananua na wabongo wanavo penda uchawii wapotezee utapata zambi✌️👊
2025-04-08 17:50:27
6
jafari salum :
kama kuna mwenye kukihitaji kilicho tafsiliwa kwa kiswahili njoo inbox nauza
2025-04-13 21:18:14
0
SMART BOY :
mbona kama unakitangaza ???😂
2025-04-08 13:33:04
12
الحبيب سيف محمد البوجيري :
ukikosa ilmu NI sumu kubwa
2025-04-07 10:03:31
2
Iamnick :
haha imeandikwa Ni muislamu
2025-04-19 07:33:00
0
shayzat_wedding mall :
al KUWAIT BIN AZIN HAMUIJUI NYIEE NI NOMA UNAWEZA PAA MCHANA😀😀
2025-04-07 17:54:19
6
AFRICANSHEIKH 👳♂️ :
WEWE Bhana Usitutishe Sie Tunacho Kikubwa na Kidogo Chake vyote Tuanvyo na Tunatumia kama kawaida vipo bikali kulko hich
#Sihrul Haaruta wamahtutah
+5
2025-04-13 22:28:52
1
michu tz :
sasa kingekuwa hakiluhusiwi kusoma kisingeandikwa 🤣 ngoja nikitafute nione
2025-04-07 11:54:21
7
Abuu Abdulghaffaar Bai :
uchawi mtupu huo wa icho kitabu
2025-04-07 12:00:07
9
DIEU AIME NYAMUSHI BENED :
kama unaamini biblia ina nguvu za mungu gonga like
2025-04-09 03:32:13
8
3M :
Mimi nilisomeshwa kweli nikitabu kikubwa ktk fani ya riyadha wito wa majini. hata mfalme mkuu wa kijini sayyid maitwatwaroun ukimtaka anakuja.
2025-04-07 11:35:24
5
Che Guevara :
hakuna original tena vilifichwa kabisa vitabu viwili
2025-04-07 11:45:49
5
Beka boy :
ustadh we Sasa una advertise kwa ulimwengu ili iweje
2025-04-07 13:24:21
10
w.alsharjih :
Kwanza nakipata wapi
2025-04-09 11:32:18
2
Ahmadi Kininga :
Tuwe wakweli, nimeisha kisoma tangu mwanzo wake mpaka mwisho wake, sikupata kuona jini wala mtoto wa jini. Huyo msaudia wako atakuwa alikutwa na ugonj
2025-04-08 07:35:31
2
son of God :
these are islamic things
2025-06-02 10:56:08
0
Golden saw :
mm ninacho lkn sijawahi kukifunguwa mbona unanitisha ss nitakirembea baharini sitaki tabu
2025-04-12 17:03:36
3
ALHUDHAIFA :
muongo ww hatar icho kitab mi nnacho na mbn hakizungumzii uchawi Wala c kitabu Cha uchawi km unavodai
2025-04-07 11:16:15
3
Kamaria Amour :
Sasa hio sauti za kutisha tisha ndio unatutishaau?
2025-04-08 22:43:49
2
To see more videos from user @kenyan_observer, please go to the Tikwm
homepage.