@freetaxguidetz: Part 86 | WAFANYABIASHARA WA KUKODISHA PIKIPIKI ZA MIKATABA,FANYA HIVI KUEPUKA KUDAIWA KODI~TRA✍🏻 🔘Tunatoa Ushauri mbalimbali kuhusu Uanzishwaji wa Biashara. 🔘Usajiri wa Jina la Biashara, Biashara ya Ubia (Partineship), Kampuni na Tust (Mfuko wa Uaminifu) 🔘Ushauri kuhusu Kodi mbalimbali na Forodha. 🔘Ushauri kuhusu uagiza wa Magari nje ya nchi hasa JAPAN🇯🇵 🔘Ushauri kuhusu Uagizaji wa Bidhaa nje ya Nchi. 🔘Kupata Leseni mbalimbali za Bishara 🔘Ushauri kuhusu Kulipa Tozo mbalimbali za Halimashauri na Manispaa 🔘Tunatoa Huduma za Kitaalamu (Tax Consultants) kwa watu binafsi na makampuni mbalimbali. 🔘Tunasaidia kufile return mbalimbali za Mamlaka ya Mapata (TRA) . . . . . 📌 Swali Lolote au Ushauri, Tupigie📞 ☎️0783-727-272 📍Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 ©️HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA . . . . . . . . .#tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #tanzaniatiktok🇹🇿 #tanzaniatiktokers #tanzania🇹🇿tiktook #tanzaniasafari #bongo #bongochachacha #biashara #bodaboda #pikipiki #magari #bongofuntiktokers #bongofleva

FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 April 2025 14:34:08 GMT
46547
961
54
230

Music

Download

Comments

james_auto_parts
James auto parts&decoration :
kama nilishauza muda mrefu na akagoma kubadili jina inakuwaje
2025-04-08 03:42:23
2
mandu.mhawile
Mandu Mhawile :
mkuu mm nagar aina suzkuk carry.maarufu kirkuu.nimepoteza kad pamoja na mkataba wa mauziano.je naweza badilisha usajili.na garama zake zpoje
2025-04-07 20:44:53
2
rashidabdulkadr2
ofsa mtoto :
mbona tushauza bike nyingi sana elimu hii imechelewa na tuliowauzia hatuwajui
2025-04-08 18:26:36
0
kelvinmwasimbega
kelvin mwasimbega :
unaeleza vizuri niwajibu kulipa kodi ila tunazalaulika sis wa boda tukienda tra wanapasiana mipira utaskia muone yule nae anakuambia muone mingine ili utoe chochote kitu wskusaidie
2025-04-07 17:53:41
1
mwanabhudagala.00
Mwana Bhudagala :
je mimi nimetoa mkataba wa pkpk ira kashamaliza mkataba name bado cjampa Kadi na sina mkataba wowote je hapo itakuaje ebu nipe ushauri kaka
2025-04-08 21:10:22
0
supergembe6
GEMBE SUPER GYSANI :
je sisi tunaochukua mkataba harafu pondi tunaelekea tamati bossi analeta kipngili ali achukue pkpk yk je haki ytu tunapateje
2025-04-07 21:21:18
1
eddiepetii
eddiepetii :
kwa hiyo hapo jumla ya gharama zote ni hiyo %1 tu ya stamp umiliki unabadilishwa
2025-04-07 15:09:56
1
lusekeloezekiel4
lusekeloezekiel4 :
na kubadirisha kadi ni sh ngap
2025-04-07 15:24:19
1
zunguhassan161759
zunguhassan161759 :
ukitaka kujua deni lako ,unaangalia kupitia app gan ya TRA?? na ukitaka kubadili umiliki online unafanyaje??
2025-04-07 16:14:00
1
official_junior669
JUNIOR JOHNSON :
kwani hao Tra kila mtu wanamdai kodi ni zanini? 😳😳
2025-04-07 17:42:47
0
suleimaniidrissa2
nardoh :
boss waache watulipie bila kujua paka waje kushtuka wameshalipa za kutosha plz waacheni kwanza🤗🤗🤗🤗
2025-04-07 16:22:53
1
erickichares
ricky :
kiomgizi kwani kulipia ushulu wa pikibpiki TLA iliamza mwaka gani na galama nikiasi gani
2025-04-08 15:17:22
1
ghitinkwi
Emg jr :
kama unae muuzia hana tin inakuwaje
2025-04-17 18:24:32
1
masekohndjjdj
tapelo maseko :
pongezi kwako mkuu🙌🏽
2025-04-07 14:58:58
1
ambroseambrosene7
Ambrose Ambrosene :
nitawezaje kujua kama ninadeni lolote kwenye tin number yangu TRA
2025-04-24 09:49:24
1
amirizuberi572
Amiri Zuberi :
na kama nimshauza na nimempa kadi ikiwa na jina langu na swala la kuba dilisha jina anasumbua nichukue hatua gani
2025-06-18 08:01:16
0
skigoda11gmail.com
SAK TZ :
je kama nafanya kazi nakatwa kodi je nikiacha kazi TIN yangu inakoma au inasoma deni
2025-05-27 17:26:52
0
bakari.bakari05
Bakari Bakari :
Hiyo 1% ya stamp unalipwa wew alafu gharama za kodi unalipa wew.? Answer please 🙏
2025-06-15 06:12:01
0
user5386348766195
MAKANZU ELECTRICAL SERVICES :
Vehicle anakujaje kwenye leseni wakati kabla ya kupatiwa cheti tulipimwa kwanza na ndipo tukapewa vyeti, Cheti pekee hakiwezi kuthibitisha udereva.
2025-04-11 19:09:15
0
danielmkenda
Dan p :
Sasa inakuwaje TRA wanakubali hawa wauzaji wa maduka wasajili pikipiki wao?inamaana hao hawadaiwi?
2025-04-08 20:20:11
0
ghitinkwi
Emg jr :
HANA KITAMBULISHO
2025-04-17 18:43:02
0
user1041483317631
user1041483317631 :
asante
2026-01-16 13:10:26
0
prezmsengitz
Prez Msengi Tz :
kama aina jina langu na na ni yangu ila jina bado ni la kampuni niliyonunulia
2025-04-08 20:38:23
0
user2044281917326
SAMPAUL'S CLEANING SERVICES :
nimenunua pikipiki kwa kaka angu. Hatujaandikishana ni hatua gani nazipitia kubadilisha umiliki iwe na jina langu?
2025-04-09 19:39:05
0
jmmynicholae
James Nicholas :
kwan kod ya pikipiki unalipa bei gan na wapi
2026-06-20 16:45:53
0
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About