@abdulqadirtwaburaniyy: #@TikTok #@TikTok Tanzania #@tiktok ZAMBIA🇿🇲🇿🇲 #@Tiktok Rwanda🇷🇼 #@tiktok Dubai #@TikTok Oman🇴🇲 #@TikTok Qatar #@Tiktok Congo #@TikTok Malaysia #@TikTok Uganda #@Tiktok Kenya #@tiktok mozambique #@tiktok american #@Tiktok saudia arabia #@TikTok saudi🇸🇦🇸🇦.

abdulqadirtwaburaniyy
abdulqadirtwaburaniyy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 April 2025 16:40:05 GMT
27339
430
63
17

Music

Download

Comments

dawar964
dawar964 :
mnatuchanganya mtuache🙂
2025-04-08 06:55:12
3
mwavyema
Mwavyema UMK :
mie niliteseka kutafuta safari mwishowe kutegezewa tiba nikaota napaaa nikasafiri qatar Alhamdulillah
2025-04-08 09:45:45
1
user2369120939371
nyainga :
shekhee apo umeongea point
2026-05-02 19:11:56
0
dealmondaeyes1
Mr.&Mrs M💍💞🇨🇦🇾🇪🇰🇪 :
Assalamu Aleikum shekhe. jana naota ka nayongwa alafu kuna mwanamke yuanicheka mm napiga kelele naomba msaada ila sipati mara huyu mwaanmke akanifungia kw kiuno na shingo hirizi nyeusi nyingi.Tafsiri
2025-04-17 22:18:49
1
zulfakhamisi0
zulfa,khamisi :
mimi hua naota napaa ila hua napigana huko angani
2025-04-08 14:15:07
0
linah1637
linah💋💋 :
je ukiota ndoto mtu amekufa na yupo hai inamaana gan?
2025-09-25 09:39:10
0
mzungu022
Salma White :
je shehe ukiot unapewa mkoba wa pesa na marehemu baba angu ukiwa una pesa nyingi na yy alirufi ujanani kabisa na katka hizo pesa kanipa nizifiche ila mama asizione nilipozificha juu ya kabati na huku mama alitokea abundance 2 ya pea yakadondoka laki niliwahi kutmyaokota na kufich kwenye kanga niliojitana je ni ninin hichi shehe
2025-06-09 13:59:30
0
moyowasubira540
✨♡𝐘𝐨𝐮𝐫_𝐩𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞𝐬𝐬♡✨ :
Asalam aleykum warahmatullah wabarakat je ukiota upewa umebebe mtoto na hujui ni mtoto wa nani
2026-01-22 18:45:47
1
joyce.bahat3
Joyce bahat :
niliota nimepanda ndege lakini ikashindwa kupaa
2025-05-30 20:49:17
1
aminaemili
emi :
tatizo mnatuchanganya sn kila mmoja anasema vyake mtihani sn
2025-04-07 21:46:52
0
babyiceisher
babyice@isher :
asalam alaykum shekh mim nimeota nipo nyumban na marehem dada angu ghafla kukatokea vita tukapaa na marehem lakin ndege zikawa zinatutafuta mara ghafla kitu nisichokiona kikanificha kwenye ndiz inamaana gan
2025-10-15 07:30:05
0
_.wakhshiabdul._10
⚽️AbdulhafidhMuhammad⚽️ :
ukiota pesa umetumia na mpesa
2025-06-29 07:52:56
0
maestrojnr161
Maestro_dady15 :
shk mm naota napaa lakini nimeshika panga nikatua kwenye kuku wengi wenye njaa
2025-07-15 03:26:08
0
latfazzzrajb
denoone :
mmi naota tembo ananikimbiza porini nakimbia napanda juu ya nyumba nakimbia maana ake🙏🙏
2025-04-07 16:45:00
0
abdulnasirngolind
abdulnasirngolind :
assàamu alaykum je mutu akiota sungu wanamaelekezo nini maana yake
2025-09-10 11:23:51
0
hafomy06
Hafnad-.😩❤️ :
Ukiotwa umezaa shekhe wangu nn majibu yk
2025-08-11 10:44:44
0
lidyajohn546
Lidyamasawe :
jamani nimeota napaa nipo mbigu nyigine
2025-07-14 08:18:01
0
hafomy06
Hafnad-.😩❤️ :
Na naota naolewa n mum wng marakwamara wakt ashanioa
2025-08-11 10:45:35
0
wisegirl331
wisegirl :
mim niota napaa na Nina mbawa ten natoka baharin
2025-10-10 09:44:10
0
husseintaissir
Mmanga :
pili nikaota napaa mbali mpaka kwa sehemu kijijini kwenye boma ila sikutua chini.
2025-05-16 03:13:12
0
maryammustafa548
Yasmar😘😘 :
me nmeota nipo njiani na mpenzi wng gafla pale njian skatokezea mama ang mzazi akaanza kutufukuza me nikapaa juuu alf nikajikuta nmemvuta yule mpenz wang juu inamana gn shekhe🙏
2025-06-23 07:02:52
0
apriler23
Apriler :
kuota unatapika ina maana ganii
2025-06-16 14:51:37
0
6mother0
6 mother 0 :
ukiota unaruka unafukuzwa jeep kariba wanakukamata unapaa hawakupati maanake nn
2025-05-23 07:17:03
0
user8168541503173
aisha cosmetics :
mm nimeota nachumiwa matunda na babu yangu na ni maheremu
2025-05-29 15:33:58
0
tatujuma36gmailcom
tatujuma281 :
a alaykum mm huota na paa alafu hutua kwenye jumba lawaarabu na wtt wake
2025-04-07 17:06:53
0
To see more videos from user @abdulqadirtwaburaniyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About