@musaremy1: Katika Dunia ambayo tunashuhudia vita kati ya nchi na nchi , tunaona chuki za ndugu kwa ndugu , mtu na Rafiki yake Au familia yake , chuki sehemu za kazi. Tunahitaji sana nyimbo za namna hii kwenye jamii , tuhubiri sana amani na upendo Pia watu kumrudia Mungu maana yeye pekee anaweza kutupitisha salama kwenye nyakati ngumu kama hizi. Jamii inaanza na wewe na Mimi kubadilika na kuwabadilisha wengine na hapo ndio tunaweza kuifanya Dunia kuwa sehemu salama ya kuishi . All we need is peace & Love ❤️. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿 PEACE ✌🏿 & LOVE VIDEO OUT NOW Link on @djsevenworldwide bio @pmawenge directed by @majagiking🎥🔥

MUSA (IBRATEAM FAMILY)OYA GANG
MUSA (IBRATEAM FAMILY)OYA GANG
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 April 2025 19:31:02 GMT
120380
14170
421
134

Music

Download

Comments

musaremy1
MUSA (IBRATEAM FAMILY)OYA GANG :
gonga Like kama umeikubali mstari hapo
2025-04-07 19:33:10
245
user4245042766017
user4245042766017 :
kka mmi kesho ntakutumia 50 elufu nkitoka kuuza alizeti zangu amini kka
2025-05-06 18:57:40
5
shanamu.official.08
Shanam@official_artist :
Pole ibrah kwa kipindi unachokipita🤣🤣🤣🤣
2025-05-05 13:56:25
9
itsket.z
King Pin👑 :
IBRAAH aka SMOKE TZ🔥🔥
2025-05-08 21:19:25
2
user5101282814310
Bright Oscar :
Kwa heshim chinga🫡🫡
2025-06-25 13:32:07
0
yonasaimon
Yona Saimon :
apooooo
2025-06-23 10:07:09
0
khanvaib
Khan Vaib :
sikupng kk
2025-06-23 17:19:04
0
apple_masterstor
apple_masterstor :
Ibra unajua sana mzee wee zaid ya wengine kwanza unajua kubadilika kwenye ngoma 🔥
2025-05-11 20:55:54
1
sage.kasereka2
Sage Kasereka :
Pôle Sana brother Mungu ata ku bless 🙏🙏
2025-05-08 21:00:47
1
jimmy.daniel.jayd
Jimmy Daniel JayDee :
safi sana
2025-07-03 20:44:54
0
paschal.kazungu
Paschal Kazungu :
hakika utatoboa mungu u nawe
2025-06-12 04:45:43
0
nicequit
nicequit :
huna hula wew boys tu
2025-05-15 05:00:20
0
user3565543301319
stve jiwe :
imba yakwako
2025-06-03 22:21:33
0
queenreyla1
Queen reyla 🔥🔥🔥🔥🔥 :
umetisha kinyamaa💪💪🥰🥰
2025-04-08 08:24:17
0
ozilyclassicwatch1
salehjudaz :
was was wangu isijekuwa umekimbia na Daftari la mistari la konde boy
2025-05-12 19:32:12
0
selebobo8606
OFFICIAL BOBO TRONIX 🧢 :
Pete mpya nn mbona tumeiona
2025-04-09 05:20:58
0
maukago8
Maukago :
We jikute mwamba yatakukuta uja toka toka bado
2025-06-25 20:42:07
0
boss.fashion962
Boss Fashion :
😁😁😁
2025-06-23 12:13:12
0
graceespoir
graceespoir :
🔥🔥🔥🔥
2025-04-08 05:07:01
0
To see more videos from user @musaremy1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About