SURATU NNARIA jamani tukithirishe nayo jamani ni hataree sana
2025-05-05 21:16:17
8
Abuu Maahir Anas Bin Omar :
hawakuifanya maswahaba wenye karama zaidi uje ufanye ww
2025-04-10 18:36:13
5
Cator :
Kwann x44444 ..... Tupe Ushahidi ... Dini hii ipo wazi ..
2025-04-11 07:17:25
3
Fatma-89 :
Walidi usile miraa huiwezi. Ushirikina mfundishe mkeo na wanao plz
2025-05-04 21:05:26
0
Sharifa ibrahim :
kweli kbs sheikh Walid maneno yako ss pia tulikua twaenda kwa matajiri zamani kusoma wakiwa na mambo Yao ss wadogo twaenda kusoma mambo yakijipa twaletewa zawadi madarasa kwl kbs
2025-04-11 06:25:06
4
Muhidini Longela :
shekh waridi tatizo sio elimu yako..ila kwenda na wakati uliopo ndio kunapo wakera.....allah akupe umri mlefu...
2025-05-15 16:31:07
3
user7606510056151 :
Je husomwa kwa kikaz kimoja?
2025-06-09 07:13:42
2
Mamutash :
sheikh naomba kuandikiwa please
2025-04-10 03:21:41
1
Osa :
Hakika Inafanya Kazi, 💯
2025-04-14 03:31:28
2
Sebbyjay :
wasoma kwa kikao kimoja au vipi
2025-04-12 06:15:24
1
Alshidhani :
Sala hiyo ina maneno yanayoweza kueleweka kama kumshirikisha Mtume (shirk) ikiwa mtu ataamini kuwa ni Mtume mwenyewe anayefanikisha haja moja kwa moja badala ya Mwenyezi Mungu.
2025-04-14 08:48:14
2
🌴 :
Mie itanichukua wiki nzima kam kwa kuisoma sawa sawa maana nikifika 100 au 50 naanza kukoroga😞
2025-04-12 19:21:39
1
lyz :
jmn mniandikie kwa kikiswahili naomb nifaidik na mm