@monsuly2: Nyie mapenzi yanauma. Ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee 😖🙌🏾

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 April 2025 19:04:34 GMT
301057
19086
491
3361

Music

Download

Comments

mwajey706
mwajey❤️❤️ :
daa!! najisikia kulia maana kama unaona ninayo pitia kwasas nataman hadi kufa mie😭
2025-04-10 19:26:47
47
serhaworld1997
Serhaworld🦋 :
Nimejifunzaaaa sasa nitakuaaa muongomuongoooo mpaka huwiii
2025-04-17 08:36:47
8
user2138840781661
Evelyne :
yani nimeliya mpaka nachoka
2025-12-07 20:01:09
1
sibby006
Sibby beiby 006🇰🇪 :
Unampenda alafu anakuona king'ang'anizi 😫😫💔💔💔ewe Mola nitie nguvu 🥹🥹🥹
2025-04-11 10:06:17
25
sophiamngodo
solays :
it's my situation now
2025-04-11 20:54:26
7
dybala.jr78
Ⓓ︎Ⓨ︎Ⓑ︎Ⓐ︎Ⓛ︎Ⓐ︎ ♠🎲 :
Fact broo👍
2025-04-10 19:09:15
5
ibrahdejunior7
Ibraah :
nina mwaka mmoja na miez niko single so mnanishaur nisiingie uko ama n content tuh😅
2025-04-11 19:40:56
17
kiddokidoly
KIKI❤️ :
tusitesane jmn😢😂😂😂
2025-04-10 20:50:17
5
nzambinana.isaac
Nzambinana isaac Fire wax :
mapenz anaumiza sana
2025-12-10 22:52:21
1
user40772353173076
💫NK ✨ sherrif💖🥰 :
niliachwa bila kosa...,,😭😭😭😭😭😭 sijui nifanye aje
2025-04-13 15:31:16
7
magecollection1
Mage collection 1 :
nilicho jifuza katika hayamaisha fanya mambo yako usimufatilie inauma lakini pambana pigania ndoto yako
2025-04-11 09:57:11
6
user7940616546739
Marry 🤍 :
daah kaka nakupenda buree nikiwa na mawao nikiangalia video zako natulia zinaniingia snaaa brother
2025-04-10 20:08:01
6
conboysix
Conboysix :
Bro Mi Nishaacha Kupenda Kabisaa, Ishabakia Kula Na Kuvaa Vizurii Nafanya Mambo Yangu Vzurii Bila Stress
2025-04-10 20:46:32
7
promise_promise26
🌴🌷𝐩𝗥𝗢𝗠𝗜𝗦𝗘🌷🌴 :
Rahma unanitesa sana mbona ulinipenda sana tu???? daaaaah 🥺🥺🥺
2025-06-06 20:28:05
0
user1565778679177
Dully khan :
mwanzo nilikua sikuelew ila saiv kishanirambaa naelewa kiongoz
2025-04-11 09:00:37
4
yunisi.mndeme
Nice🦋 :
Unasema mapenzi yanauma ushawah kuposti picha kumringishia ex wako na asiingii online mpk mda wa status uishe 😭
2025-12-08 15:57:32
0
missleeh7
Leeh Beauty Haven :
bro mimi sina neno tena kuhusu mapenzi Mimi kimya tu mana daah😒
2025-04-11 20:10:24
3
saudahqueen01
🌹💎GLOW✨️QUEEN👑 :
Acha izo content watu wanalia wakiskia tu sauti yako uki zingatia wanayopitia unayaongelea kama umehadithiwa 🥺🥺🥺
2025-06-03 05:30:30
3
user8557619618122
baby "p" :
dah🤣
2025-10-19 14:56:06
1
edysonefaustine
Eddie :
sana tu
2025-05-29 07:24:58
1
itilimafinest94
ITILIMA FINEST :
uhakika
2025-04-11 04:25:56
2
bienfaitirakiza78
LION KING 👑 BRAVE MAN :
kweli kabisa
2025-11-17 21:50:37
1
jordanmatrix4
matrix :
kaka unampenda yeye akupendi inauma kaka inauma sanaa😭😭😭😭
2025-05-19 08:16:48
2
e.the_model
Efrahim Samwel :
nyoooo et nusu ya uhaii an nishindwe kunywaa maji nilale nianze kuumiza kichwa kwa flat screen mmojaa
2025-04-11 21:03:42
4
2000019stela
sunna :
mimi naumia sio siri daah
2025-04-10 19:24:30
2
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About