@wachokonozi: Baba mwenye mtoto aheshimiwe hata kama ni taahira #WACHOKONOZI #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #viral #trendingvideo #reelviral #tiktokarushatanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tiktokafrika🇸🇳🇲🇦🇲🇱🇿🇲🇿🇼🇿🇦🇬🇶🇱🇷🇱🇾🇬🇳 #daresalaamtiktok #fypviralシ #tiktokdaressalaam
Bro ulimwengu umekubariki sana kwenye hii elimu ya utambuzi
2025-04-11 07:20:07
12
fantaphilip :
Mbona unatetea sana wanaume mngekua na adabu msinge kimbia mimba nakukwepa kulea watoto
2025-04-12 19:54:07
7
user99102438731 :
hakika ni ukweli mtupu😇😇😇pamoja sana mlimwengu 🥰
2025-04-11 11:09:42
8
gee :
heeee
2025-04-11 14:37:51
3
Lazack Buswelu :
nimekuelewa
2025-04-11 07:22:55
4
Salome Swayi :
mwendawazinu kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-04-12 19:51:00
4
hellen simba :
wengine wanaume hawajui hlo
2025-04-11 10:59:06
5
GILIADI GABRIELY :
nawaelewa sana
2025-04-18 05:20:13
2
D@only :
😂😂😂😂 Hawa bwana kunamuda zimo Kuna muda zinahama kabisa hapa zimehama kwelikweli
2025-05-04 05:05:29
2
kelvin gratus :
hata mama vile vile nae ni mbegu za mwanaume , bado ni cycle
2025-04-27 07:02:58
2
Golden woman :
huyo mtt atakuwaje mtt bila ya yai la M/mke . na atakakimilikaje bila ya miezi 9 ndani ya tmbo la M/ke. Hizo mbegu tukisema hatubebi mimba tutakojozana na mtt hamna au utapiga nyota zitayayuka .
2025-04-12 15:09:08
3
frankGB :
point kubwa broo.@
2025-07-03 15:28:43
1
Payrot 8 :
wenye akili wanakuelewa wenye elimu hawakuelewi
2025-04-28 13:47:59
2
bhana jl :
kweli kabisa
2025-04-28 11:10:45
1
Nayla🌼🦋 :
tatzo hao watoa mbegu wenyew hawajielew
2025-04-12 23:27:05
3
maiko alfred :
ss tuli tokana na nn kaka
2025-04-12 18:50:44
3
user9554001011784 :
kabisaaah man
2025-04-12 20:18:45
3
AFYA NI MTAJI-AFYA YA UZAZI888 :
pamoja sana🥰🥰
2025-04-20 13:16:43
3
user5471979693151 :
wewe jamaa una akili sana
2025-06-09 13:45:16
1
user5471979693151 :
wewe ni mashine nakupa big up
2025-06-09 13:45:57
1
Saidi Mabula :
aiseeee ni huzuni kwa kweli
2025-04-23 17:03:12
1
rizzy1506 :
Mafuta ya uzima ni nini yanatoka wapi?
2025-04-24 06:43:02
1
boniphace :
mpo au bado mmekamatwa
2025-06-25 14:26:30
1
Sara Alkebulan :
Embu gomeni kutupa huo ufalme 😂😂😂wapiga nyeto wakubwa mngelitambua hilo msingebaka kuku na mbuzi
2025-05-11 09:46:14
1
Jah🤑 :
💯💯💯sahihi kabisa
2025-04-28 08:28:40
1
To see more videos from user @wachokonozi, please go to the Tikwm
homepage.