@chattaofficialmchatta: 10-ZA MTAANI (ielewe mitaa) 1.Usiruhusu njaa ikusaidie kufanya maamuzi Ukishiba Utajuta 2.Akikupa mungu mwanadamu asikutishe 3.Usiogope kubali peke yako ogopa kukaa na watu ambao sio sahihi katika maisha yako 4.Tunaishi katika dunia ambayo Ukipata unapendwa Ukikosa Unatengwa Naukiwazidi Unachukiwa 5.Tunaishi na watu wasio tupeda ila tukiwa mbali nao bado wanatuulizia 6.Hauwezi kupendwa na kila tu wewe sio pesa 7.Mtu akishindwa kukusaidia aina maana awe adui yako 8.Jifunze kumtambua Adui yako Hata kama nisehemu ya Maisha yako 9.Usimuamini Mtu yoyote kwa urahisi Kwa sababu Kwenye kila Unae mjua wewe ndani yake kuna usie mjua 10.jitaidi Uishi Uhai kila mtu anao. MITAA INAONGEA na Chattanoga Mchatta #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #wasafitv #congo #ukweli #fyppp #nigeria #crown #udaku #fypシ゚viral #ayotv #maisha #mtaani