@davones_lifestyle: Ebu niambieni please #streetfood #waru #smocha #nairobi

Davone's Lifestyle
Davone's Lifestyle
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 12 April 2025 17:05:33 GMT
73620
1766
70
195

Music

Download

Comments

snazzykeash1
🦋 Snazzy Ivy☺️😍 :
kauchafu kidogo 😂😂
2025-04-12 19:43:57
132
iss_s.h.a.r.o.n
S.h.a.y💜 :
za Town after kupewa enye haijaiva I will nevaaaa again😭😂😂
2025-05-02 16:49:35
12
khenzy80
JoJo and my.sister❤🥰💗🌆 :
na mjue kuna outbreak ya cholera😂
2025-04-13 12:10:31
77
foifoina
foifoina :
have never eaten this street food and am not planning to , Hpylori has shown me shege for one year and counting
2025-04-13 14:43:14
15
mary8wan
mary :
uchafu
2025-04-13 13:29:01
4
musawacucu
musa lemayan githua the vet :
mimi kama kikuyu siwezi buy waru moja 30 aiii
2025-04-13 19:54:53
8
14589444s
princess❤ :
kumbukeni kuna outbreak ya cholera guys😂😂
2025-04-13 14:31:54
0
_muriuki_2
muriuki 🌟🌟 :
okay ni Mimi tu ama hizo kebab zao ni addictive 😂
2025-04-13 18:00:38
1
aliciah807
aliciah807 :
Alfu niliona kwenye zinapikiwa uuwi😭
2025-04-13 06:17:28
2
pinkybur_bea
B@rbie✨doll🫰 :
Ata upewe recipe n make them..it wont slap the way izo huslap😂😂
2025-04-13 17:02:20
0
tara_tamz
tamaranotomorrow🤪🤪😝 :
mafuta mzee kukuliko 😁😁😁
2025-04-13 08:34:42
1
francis.g.4
francis :
siku moja utakula mafi yangu wewe 😂
2025-04-13 15:26:41
0
dennoh_mits
user16851597225565 :
ukaweza ju zimepikwa na mafuta ilitumika last year...
2025-04-13 19:30:45
0
feifeivour8
FeiFeivour :
ni mimi tu sijawai kula hii ama tuko wengi?
2025-04-13 21:31:06
2
maryabonyo236
Mary Abonyo :
moja tu na ile coke ndogo ka 60 nimekula lunch 😂
2025-04-13 08:34:00
4
kaburamaina
kaburamaina :
hukuona kwa mosaria???
2025-04-14 17:17:01
0
asher_gad
Ashergad :
ni poa ukae bila kujua ingredients za vitu zingine 😂😂 utakosa appetite bure 😅
2025-04-14 17:00:30
2
qarol37
qarol37 :
Hiyo trolley kuwekwa kwa choo
2025-04-13 09:04:58
8
nosedusa
Addresicca :
upepo, vumbi, kukimbizana na kanjo ,hiyo karibia karibia customer na kelele za mat
2025-05-13 21:40:54
1
qamarj2
Qamar :
jana alipea ile haijaiva
2025-05-30 07:38:53
0
carol_cara
🖤çåröl🖤 :
unga,food colour ya egg yellow,chumvi na ofkos waru
2025-04-13 15:38:20
0
shykoh_times
shykoh times :
vumbi na Moshi ya magari zikipita
2025-04-13 16:08:16
0
osas_003
Osas :
Mafi kiasi
2025-04-15 11:48:36
0
aseka_m_aseka
ASEKA😍✌😍 :
siri ni kupark hizo trolley kwa choo 🤣🤣
2025-04-15 06:04:18
0
kaletiktoker_2000
Mbarikiwa :
uchafu.
2025-04-13 14:51:15
0
To see more videos from user @davones_lifestyle, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About