@siasatz: Maneno ya mwisho ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyasema kabla, ya kufariki dunia Oktoba 14, 1999. #SiasaTZ #SiasaZetu #Nyerere

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 April 2025 12:32:19 GMT
296436
19937
494
1417

Music

Download

Comments

lah_katuju
lah_katuju :
Kikwete na Samia Wanachezea AMANI ya Tanzania kwa muda mrefu
2025-04-13 16:01:18
277
mariamabubakar972
Da'Zai.de supper woman :
Aliye ufuata huo wosia katika hii nchi ni MAGUFULI tu, R. I. P JPM
2025-04-13 18:06:07
273
majingeii0
veracity :
Nyerere alikua na akili sana,pia alijua kuwapambania watu sana pia alipanua mipaka ya nchi sana hadi leo tuna Tanzania kubwa
2025-04-13 17:04:32
56
user2993510260071
user2993510260071 :
lisu anataka tukimbie nchi
2025-04-13 13:34:54
12
antony_shaibu
antony akulazi :
uongozi wa kikristo ni wakikafiri
2025-04-16 03:38:37
5
yonermanang
Yoner Manang :
😭😭😭😭Mungu atujalie kiongoz kama nyerere au magufuli 🙏🙏
2025-04-13 13:31:04
108
madongojr
madongojr :
swali "hawa waliopiga makofi baada ta nukuu wanasikitika au wanahuzunika? me wananichanganyaga kwakwer kila k2 wao waahwaaahwaaawaaah😒
2025-04-13 13:41:24
22
rehema.rehema35
Rehema Rehema :
ALIOUFUTA HUU UHOSIA NA KUTEKELEZA NI MAGUFULI PEKE YAKE
2025-04-13 19:56:03
76
user4460085188065golden
golden boy :
maneno magumu sana ila yalikuwa yana maana kubwa sana😥😥😥
2025-04-13 13:48:35
23
user6175867507946
0787233779 :
MIFUMO ALIYOIACHA INAITESA NCHI SANA, HATUNA LA KUSEMA ILA MUNGU AWAREHEMU WOTE
2025-04-13 14:14:41
11
edmundkisaka
Edmund Kisaka :
Tanzania 🇹🇿 chini ya viongozi wakristo ilimjua Mungu,kujali utu,amani na maslahi ya taifa mkatae mkubali huo ndio UKWELI.PUMZIKA KWA AMANI MZE WETU
2025-04-14 13:25:43
22
mussababaz983
Mussa Babaz :
i love Tanzania yangu
2025-04-13 19:50:59
7
emanuel56147
AFRICAN PRESIDENT :
kama unaamini mungu siku atainua taifa hili juu weka like hapa
2025-04-14 04:47:33
12
patrao4ever
Pacific m.patraõ👑💎 :
Amen 🙏🏼
2025-04-13 18:17:06
2
dayan.don.pablo
Dayan🇹🇿♍ :
mama kaisha ipeleka nchi Manchester united kwa mkoloni .🇬🇧
2025-04-13 17:57:34
8
mwangoya2
mwangoya :
Mpango&magufuri
2025-04-13 12:59:48
6
blesserafrica
blesser :
@blesser: anzia darasa la kwanza mpaka mtaani atufundishwi kuipenda nchi yetu wafanyakazi wa umma police/walimu wanatugaia mateso wanasiasa ndo usiseme utaanzia wapi kuipenda nchi yako
2025-04-13 16:29:57
9
bellavista.haule
BELLAVISTA HAULE :
Tunaopenda sana Nchi yetu..Sasa ni Nchi ya wachache na wasimamizi wetu wamekuwa wasimamizi wa Chama flani Cha Siasa sio wasimizi wetu tena!!!!!
2025-04-13 17:27:40
7
user6083726307405
Edwin :
shida nyie wazee ndio mharibu hii inchi
2025-04-13 20:43:46
2
hajilubwaza
Haji Lubwaza :
Lakini sasa lisu kikwete na wengine wasio wazalendo wanatutesa balaaa kama lisu na kikwete ndie watu wabaya zaidi Tanzania 😪
2025-04-13 20:08:31
3
jacksnville5
J🚖 :
mungu atupe kiongozi kama magufuli Amani yetu ipo mashakani🙏
2025-04-14 05:22:44
3
timotheoalex2000
timotheoalex2000 :
ma rais wa kiisram wote hawafai kabsa
2025-04-14 09:03:06
2
dennislemah
Dennis lema :
MUNGU UTUSAIDIE TU TUTENDE YALE UYAPENDAYO NAJUA AYA YOTO YANATOKEA KWASABABABU HATA YATUJUI ATA TULIPOTOKA VILA TUNAAMINI TUMETOKA KWA ALIYEKUWEPO AMENI
2025-04-13 21:43:53
3
fadhili.bwanga
fadhili bwanga :
angejuakama nchi ameachia wezi
2025-04-13 19:24:22
2
user87819343780377
mapigano charles :
sasa mbona wanyonge tunalia sana aliyetujua alikua ninyelele na hatimaye magufuli.wengine wanajijali wao mbonahvo basi imani imekwisha kamawananchi wa
2025-04-13 20:39:17
3
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About