kosa langu kubwa uwa napenda malipizi sijwai kuwa mnyonge kabisa kama na ww upo kama mm tujuan kweny like
2025-04-14 20:49:52
307
Caramel😊❤️! :
Kamdomo🥹🙌
2025-04-14 18:02:35
258
More time :
kununa bila sababu🤣
2025-04-15 06:07:53
80
fathiyaadam912 :
Kutokubali kujishusha aisee hii kiburi itaniua 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2025-04-14 19:50:16
41
Charlotte 🦋💕 :
Kuwa gogo kwa bed 😅😅
2025-04-14 18:41:58
35
jazzy_store :
Sipo romantic 😅
2025-04-14 21:13:17
33
💙A🦋M💫 :
loving someone too much,, making him feel you can't without him 🥹🥹
2025-04-15 06:31:13
32
💕Joy-lee..✨♓️ :
Kutovumilia ujinga
2025-04-14 20:08:46
23
Asmah :
🥺🥺mdomo,hasira na kiburi
2025-04-15 06:50:00
13
charlenestore2298 :
Kiburii cha kihehe yaan kidada na wivu 😩🙌🏻
2025-04-14 19:07:31
12
venykidoty :
Ikidada😅😅😅
2025-04-15 10:14:41
10
🦋🦋unique_gal🥰🦋🦋 :
Nimemwambia hajitambui ndo kaniacha 😭😭😭😭💔 nipo nabembeleza tu hp lkn halielew na ukuangalia hajitambui kweli mana mwanaume anapenda kununa 😭😭💔
2025-04-15 07:36:55
10
his❤️ :
kujibu " sawa" tukigombana
2025-04-14 20:45:11
9
Lizyb kimario :
Kukontroliwa staki 😁
2025-04-15 07:22:53
7
ms_karinah♊️❤️ :
Hasira 🥺💔
2025-04-14 20:01:17
6
aysherbasmat2 :
Kuwa Online ad sa10
2025-04-14 21:53:09
6
nishbeibe :
too much expectations
2025-04-15 06:35:01
5
Mrs sal ❤️ :
Ujeuri na kiburi🤣🤣🤣🤣
2025-04-14 19:11:24
5
just panoi 💖📸 :
over caring,over understanding,over loving, losing my spark for him 🥺💔
2025-04-15 09:52:20
5
Aliceethan :
Jeur ya kichagaaa😩😩jeur jamn jeur😂😂😂😂
2025-04-15 07:36:53
5
Chioma 🦋funny page 💐⚘️🦋 :
ku cheat na mubabas😂🤣Aibu naona miye🙈
2025-04-15 10:22:56
5
Hadija Mohamed :
kosa langu ni ubusy simtafutagi mpk aanze yeye lkn kuna limtu alifanya nione kumtafuta mtu mda wote ni kujipendekeza tu ila nampenda sana mtoto wa mama mkwe wangu
2025-04-15 10:19:29
5
itsmejenny0055 :
Natafuta ugomvi bila sababu 😂😂😂
2025-04-15 09:24:31
4
~N~😇❤️ :
my mouth guys and I don't know how to control it 😒🥹😭😂😂
2025-04-15 05:15:55
4
shuu530🇹🇿 :
kumpenda sana af yeye anaona kero sana
2025-04-14 19:15:46
4
Rahma hennah🥰 :
kununa2🤣
2025-04-14 20:01:34
4
naynay :
ni kamdomo tu
2025-04-14 20:25:58
4
🦅 :
Kiburi na wivu 😩😂😂
2025-04-14 18:12:41
4
emmy sulley 600921941364 :
kiburi na malipizi hapa ni titi for tati🤣🤣
2025-04-15 07:26:28
5
kindly girly😊 :
sijui kubembeleza🤣
2025-04-14 22:25:53
3
annah 🤍💙 :
kushinda tiktok 😂😂😂😂
2025-04-14 20:45:00
3
honeybee⚘️🍯 :
kulia ovyo aiseee ananivumilia sana😂
2025-04-14 20:35:23
3
KARIAKOO QM CLASSIC BAGS :
wababa
2025-04-15 05:15:57
3
NoLimitSaleem😅 :
UKINIPIGA TUKIO SIKUULIZI ILA NTAKULIPIZIA TENA KWA MTU WAKO WA KARIBU NA UTAJUA TU….😂😂😂🔥🔥
2025-04-15 08:27:01
3
annwamuriithi :
mdomo,hasira, kiburi na giving silent treatment
2025-04-15 13:12:39
3
ashkieoffical🦋❤️🦋 :
😂😂 kuwa gogo ilaa kikubwaa kiburii
2025-04-14 20:05:24
3
🦋Hawa🦋 :
Wivu uliopitilizaa! na mbaya zaidi kitu ambacho nimeshindwa kabisa ni kujizuia kutoshika cm yake! na Kila nikishika lazima nilieeeee 😭😭😭😭