@mch.abiudmisholi: ZINAA YA MAZIWA -MCH. ABIUD

Mch. Abiud Misholi
Mch. Abiud Misholi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 April 2025 06:21:08 GMT
350345
10709
326
2640

Music

Download

Comments

user3286750654987
AMONI JOHN :
waambie ukwer sema kizazi cha sasaivi awataki kuambiwa ukwer
2025-04-15 11:02:08
15
merry20love
tiktok girl 🦋🦋🌹 :
sisi wanawake nikama tushetani tu mana tume kaa kimi tego sana
2025-04-16 04:19:59
22
user77698170783303
steve :
heee MUNGU wangu nawezaje kujizuia ktk ili. na macho yangu yanayaona yote aya. Naitaji mkono wako niokoe Eee Bwana nisizame Amenii🙏
2025-04-17 19:55:13
6
oliviatsisika
oliviatsisika :
mmesikiako huyu akitusiana takataka?🤣🤣🤣🤣
2025-04-16 12:32:45
5
user8100193418135
tukonge tembomtoto :
hapo baba umsema mungu atusaidie
2025-04-16 09:03:34
12
user8669917948539
samson mtumishi :
mchungaji me naitaji maombi ile tama ya mwili ilikuwa imesha mda mlefu lakn saiv naona inaninyemelea
2025-04-15 10:57:09
13
marie68036
marie :
Ayubu 31:1 [1]Nilifanya agano na macho yangu; Basi nawezaje kumwangalia msichana? 🙏
2025-04-23 07:31:51
7
apostlesam01
Brother Sam :
Ukija kutafuta maombi ukiwa hivyo nakurudisha ukavae vizuri🙄
2025-05-12 13:59:13
5
luckybo540
LUCKY BOY :
shetani wa kwanza na wa kuonekana kwa macho hapa duniani ni mwanamke
2025-04-17 17:29:40
8
stevenmwahalende
Steven Mwahalende :
Mungu atusaidie jmn tuna tafutwa kila kona tangu enzi
2025-04-17 19:14:42
6
nuru.rubona
Nuru Rubona :
kwakweli MUNGU atutee baba sema tupone kwa jina la yesu
2025-05-18 11:24:34
2
petermathias61
Peter Mathias :
Ameen Mungu atusaidie kuishinda zinaa
2025-04-16 09:15:06
3
ashura.juma57
Meckitirida baubi 🌷🧎‍♀️🙏 :
amina Amina 😭
2025-04-18 06:31:32
3
user293777700977
evan boy@@ :
ubarikiwe sana mchungaji tuambie ukweli uishii milelee.
2025-04-18 17:26:07
3
christchild25
philip👼🏾 :
kuna sehem nilishawai kuona kama sio kusoma ety wanasayansi wanasema kuangalia maziwa ya mwanamke kwa muda wa dakika 5 mpka 10 inaweka sawa afya ya akili na macho ya mwanaume.EE MUNGU TUSAIDIE 🙏
2025-05-06 10:29:31
4
user4453922086186
the BLESSED :
jamani tumesoma HOSEA ngapi?
2025-04-17 14:07:17
3
user9972233370354
Rosebety sanga :
aminaaaa
2025-05-19 16:57:47
2
beatricemwamini
mwamini Béatrice :
Amina
2025-05-20 07:50:49
1
lucy819802613426
shalomu :
Mungu nisaidie Mimi mwanamke
2025-04-15 10:42:16
13
george.h.nyambuya
George.H.Nyambuya :
Ameeen 🙏
2025-05-17 12:57:42
1
mercymasika162
mercy joy :
mungu akubariki sana pastor 🙏
2025-05-17 20:09:05
1
user9636746109262
Deno 254 :
amen
2025-04-16 13:03:33
1
gczb14
M T M :
mtumishi nauliza vp swala la wanawake kusuka nywele nidhambi
2025-05-30 18:27:58
1
john.thuo80
john thuo :
Amen
2025-04-16 06:45:24
1
rain_bless
Rain Bless :
Lakini mchungaji kwani hata ikitokea nikatamani mwenye Zambi kubwa sihuyo alie nitamanisha
2025-04-23 09:11:18
2
To see more videos from user @mch.abiudmisholi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About