@iroc.tv: Upendo wa baba unapunguza ulimbukeni😂 TUNE in Thursday at 11:30am on iRoc Networks youtube 📺 @mambiseh19 , @willynkya & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalkerafrica 📍 @irental_s #BeMore #NmbKaribuYako #Thejunction #JohnnieWalkerTZ #Ad #keepwalking#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼🇷🇼
iRoc Network
Region: TZ
Tuesday 15 April 2025 11:57:12 GMT
Music
Download
Comments
foibe kajiru :
Dad's girl mko wapi!
2025-04-15 19:16:19
718
Manka Kimaro :
kweli ase me sjapata malezi ya baba ndo maana matapeli yananizoea vbaya
2025-04-15 15:35:42
206
fighiter guy26 :
Duuh tunaumia sana ambao hatujapata malez ya baba🙏
2025-07-07 09:49:23
1
foximanjanuary :
Hongereni mliopata hayo malez ya baba
2025-04-15 12:29:14
486
minah salum :
tuliokosa malez ya baba like apa 🥺🥺
2025-04-16 13:24:57
119
Games & Glory :
Single Mother 100% wanaharibu watoto
2025-04-15 12:45:29
86
Timoavy2014 :
100% true! mwanamke aliyelelewa na Baba bora ni mwanamke bora sana
2025-04-15 13:11:08
144
Jojo :
yupo sahihi asilimia mia kwasisi tuliokosa huo upendo wa baba tunaelewa
2025-04-15 15:25:41
56
Ballopixel :
Mambise kunywa soda
2025-04-15 12:48:23
16
wityliss :
Anaongea haraka anaokoa bando langu nmependa 😂🥰
2025-04-29 05:48:54
11
captain HUSTLER :
Wachaga tu hamjui mapenzi bhana nenda
2025-04-17 13:47:54
6
Mariam🦋 :
Huyu ni mimy kabisa, I have received the best love from my dad, God bless that soul for me
2025-04-15 15:31:52
47
PELINA DYAGA :
MBONA MIMI HUWA SIFIKISHWAGI KILELENI 🥺💔
2025-04-17 12:07:50
1
Suzan Timothy :
huyu n Mmeru aiseee
2025-04-16 07:25:36
27
yOungMpekaa :
Out of 10000 words she choose to speak facts😎
2025-04-15 12:14:58
67
Mayqueen ♉ :
hii ni kweli rest in peace my dad 😭
2025-04-15 17:21:15
11
Asumpta Godfrey :
This is very true
2025-04-15 12:01:52
41
Heri :
Unikosoe jinsi ya kung'ata bagaa, aaisee na mazoea ndo yanaishia hapo hapo, yaani ndio outing ya kwanza na ya mwisho.
2025-04-15 13:56:27
6
Tee🌹🦋 :
Ana feel ad upendo wa tapeli🤣🤣🤣🤣hii nmependa 😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-04-16 17:03:00
4
DAGIE 7 :
I'm liking this girl, habibi come to Kenya 🇰🇪
2025-04-18 13:17:33
6
Ms. rajaaq :
Au me mama kanilea kama Baba😂😂
2025-04-15 15:30:57
3
Salum Ramadhani :
oya ni kweli ila mama ni pepo
2025-04-17 10:52:12
2
Namteivah :
ahsant babaangu upendo wako unaishi kwangu endelea kupumzika Kwa Aman. uyu kamaliza
2025-04-15 13:17:50
28
Mæt Ⓜ️ :
what about us Orphan
2025-04-15 17:35:18
4
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.