@allybanza08: #stitch with @nahbee03 Innalillahi waina illaihi rajiun 🙏🏾! Wanawake Pendaneni! #swahilitiktok #tiktoktanzania🇹🇿

Ally Banza 🍃
Ally Banza 🍃
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 April 2025 10:25:15 GMT
145216
3842
689
267

Music

Download

Comments

trinah373
La Catrinah💜 :
yawezekana huyo mwanamke alimuonya carina kipindi alivyokua mzma na alivyokua anachepuka na mumewe lakini labda carina hakusikia au alileta dharau ndomaana akafanyiwa ivyo🙂 RIP Carina
2025-04-16 16:44:21
71
mamyjojo51
mamy jojo :
apumzike pema peponi dada Carina.Mungu atamuhukumu
2026-08-31 08:49:35
3
brokersmuzik
Jack Rabbit ⚡ Music :
oohoo
2026-09-14 19:31:00
1
shufaa.shabani3
Shufaa Shabani :
ira xio maixha ya kumtexa mwenzio na yy mungu atamrani uyo mwanaume kwan baba ake mzazi kampa ukiwa mtoto tu dada kaniuma xn uyu 😭😭😭
2026-10-11 19:50:18
1
.mamabrianna
FETTRY KIKO ❤️ :
Wallah kila aliyeusika kumuumiza uyu dada atalipwa yeye na kizazi chake na uzur wa ubaya hua haudum🙏
2025-04-16 10:47:16
73
florider14
Florida :
KARMA is real,aliyefanya atakuja kufanyiwa yeye au watu wa uzao wake.Hakuna mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine isipokuwa MWENYEZI MUNGU,kazi ya kuhukumu pia ni yake.
2025-04-17 06:09:43
56
nanalyto96
nasrah❤️🥰❤️ :
atauua wangapiii awe na ubinadamu🙏
2025-04-16 20:22:56
20
officialkichunah
Officalkichunah :
Kama ni kweli huyo dada ana moto mkali sana mateso yote hayo kisa mwanaume jamani😭😭
2025-04-16 10:41:28
15
nazme372
Shenaz Sidney :
Yani kama alirogwa naamini hata aliyemroga alishasha msamehe ila alikua anashindwa kumsaadia maybe mganga kafa au hakuna dawa yakumtibu mana duu siamini kma kuna mwanadamu anaweza kumtesa mtu hivi……..
2025-04-16 21:41:20
17
auntyheena
Heena :
@ssa mbona watu wangoje afee ndo siri zitoke mbona alipokuwa hai watu hawakusema jamani......
2025-04-17 12:56:01
5
hellen.magaka
princess ❤️ :
kuna watu wana roho mmbaya kumpita ata shetani.
2025-04-17 06:08:55
8
lukasnare
Nare Entertainment :
na laumu pia waganga, wamechangia vifo vingi na inafaa washtakiwe na kazi zao kubomolewa kwa sababu hawa ndo tegemeo la waovu
2025-04-18 02:54:01
9
sajeyes
Sajidath Eye's :
na nyie wanaume ukijua unatembea na mchawi hebu acha kuchepuka, unamuweka mtu kwenye shida kubwa na huwa hamsemi ukwel kama mmeoa. mi kuna mtu alinambia mkewe kafarik nkachunguza kumbe yupo hai 🙌
2025-04-17 05:44:03
7
hasnahassan857
latifah :
na huyo mwanaume nae amenyamaza hata hawezi ongea walai kusadia
2025-04-17 05:06:30
7
ellenjoseph
ellen❤️🧚‍♀️ :
mchawi wa mwanamke n mwanamke tunalaum tu wanaume ila kwanin mtu usideal n zumbukuku lako
2025-04-16 10:30:22
17
nushwhitening
Nush whitening254 :
wanawake wenzetu mungu atusamehe kwa tunayo fanya kwa siriii ila hata uibiwe mume sio kufanya hivyo mukienda kwa waganga mujipangeee MGANGA HAJUI KUTENGEZA ANA ZIDII KUHARIBUU, ALLAH ATUSAMEHE YARABII
2025-04-17 15:23:22
5
cassandra7624
Cassie-brizzy 💎🩵 :
Shida mwanaume anaweza kukufta na ukamuuliza kbsa kama ana family akasema sina badae mwanamke wake akija kujua unarogwa wew hii ijakaa Sawaa kbsa 💔🥹
2025-04-17 09:07:14
5
mwanahawammbaga12
yuza :
kwan uyoo siatafutwee aliemfanyia ivyoo
2025-04-17 07:19:49
6
lavieofficial0
lavie🌸🍇official :
anabint mzuri sana jmn mwanae analia had leo ni ngumu jmn hii hali
2026-10-08 12:25:27
1
maua.miraji.og
Maua Miraji og :
ata kama jmn mume ndoadhabu kiasi ik jmn apn siwezi
2026-11-08 15:15:10
1
oscar_ouwey
OuWEY🤓 :
minajiulizaga inakuwaj mtu unajua shirki ila unaenda hospitali hivi vifo mbona ni vingi lakini watu hamjifunzi au nikwel bora ufe ila usiende kwa mganga 🤔🤔🤔
2025-04-17 11:09:38
1
dads173daughter
ralph~beib💞 :
😳😳😳Duuh wanawake sis ni wauwaj
2025-07-04 23:59:27
3
angeloutifitstore
angel j 💝outifite :
kweli acha niishi tuu mwenyewe maana ina uma sana
2025-09-11 20:14:33
1
1sashfer3
Sashfer 99🥰 :
wana ume na nyie muache kuwa danganya watt wawa2
2025-04-16 11:37:21
2
lamahbrongx
Totoo Sally👐☠🦋 :
dah🥺
2025-04-16 17:08:31
2
To see more videos from user @allybanza08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About