I had a dream that I removed two of my upper teeth at the middle of my mouth
2025-04-17 16:56:37
2
Alvnalvn76 Sivaah :
Ingia kwenye uislaam kabla ya kifo chako
2025-05-20 19:43:00
0
esnathbwasamadesign :
Pastor Mungu akubariki sn, naomba unisaidie mm huwa naota ndege 🛫 inatoka juu inaanguka inasababisha moto kuwaka lakin mm na familia yng huwa napona naikwepa inaanguka pembeni yng.
2025-04-19 20:08:36
2
beckymo :
f5i
2026-01-08 15:08:18
1
The truth :
niliota rafiki yangu amevaa viatu vyangu
2025-05-25 10:05:32
3
pettermwamba :
niliwah ota hvyo sio zaid ya mara moja
2025-04-17 15:27:48
4
God is able :
mm niliota jino moja hii canine limelegea lina ng'oka nikawa nalitoa na ulimi wangu ,
2025-10-18 17:21:15
3
NJOGU WA NYAGUTHII :
hii doto kuna time ilikuwa inajirudiarudia haki😭........
2025-04-18 12:16:42
3
Alice's :
eeeh mungu umeruhusu nisikie haya ilinipone nakushukuru
2025-07-09 18:28:24
3
Mary :
Eeh mungu tusaidie baba
2025-05-25 17:18:36
2
Patricia Maya :
Mtumishi wa Mungu naitaji msada wa maombi kabisa
2025-04-17 09:59:25
3
mamake shania wanjiru🥰🥰🥰🥰 :
mm plaster ni Meno Tu moja hua inaniuma, ndio nimeota Leo imetoka pekeake
2025-07-01 05:50:02
1
erika v,t,r🥰 :
mungu nisaidia niache kuota doto kama hizo
2025-06-21 04:55:23
1
Contact us1Landscapes :
pastor nimeota kuna meno nayatoa mdomoni ila yanabadilishwa na meno mengine ila yalikaa kufanana na mnyama kama joka ndogo ila mi meno tafsiri ya hio
2025-08-14 04:24:21
1
Rhoda cute 💄 :
mimi nilikuwa naumwa jino nikalal nikaota hayo meno mabovu yana ngoka
2025-10-06 11:19:20
1
Patricia Maya :
Ni fanye nini uli nikutane Nawewe mtu wa Mungu ?
2025-04-17 12:53:26
0
Charles sharangaboshamavu@gm :
mimi niliota meno inani toka alafu ikaota tena bila mupangilio muzuri alafu ilikuwa mweupe sana kuliko yalio toka
2025-05-28 07:01:51
1
Devotha Ndura :
pasita naota navuta kamba kwenye kunywa changu
2026-03-06 19:51:36
0
jescaa🥰 :
Nmetoka kuota saiv meno yanapukutikan yenyew ikabid ni search
2026-07-29 15:15:38
0
Jackline Julias :
Minliota ulimi umekatik ktk upo km umeoza alf nkaanglia juu mbinguni nkaon nimletew ulim lkn wenyew ni mkubwa haulingn na mdom wang lkn pia wenyew sio mpya
2026-07-16 17:53:08
0
Jackline Julias :
Mtumishi minaotag nayatema kabisa alfu yanarud mengne hii inamaan gn
2026-07-16 17:45:15
0
Eveline Daniel :
Ee Mungu Umeruhusu Kukutana na Mafundisho haya ya mtumishi wako, Naomba Rehema Zako Unihurumie
2026-08-21 12:42:22
0
nanga benf :
babangu minashukuru sana kwa msaada babangu kilamara nilikuwa nalota izi ndoto kunawakati minalota minazitosha nazitupa wakati nyingine ninazimeza ba
2025-04-17 07:35:53
0
To see more videos from user @rgcministry, please go to the Tikwm
homepage.