@insideoutz__: HANA UWEZO KUJILIPIA KWENDA USA🇺🇸 MWENYEWE? BABALEVO anasema mpiga picha wa zamani wa Diamond Platinumz LUKAMBA hana uwezo wa kujilipia mwenyewe kwenda mtoni ( USA) Babalevo anasema Lukamba inapaswa ajifunze kupitia kwa mpiga picha wa mwanzo kabla yake KIFESI alishuka thamani mara baada ya kuchana na Diamond Ni kweli wanaoachana na Diamond wanapoteza trends kwenye shughuli zao!? via @rickmediatz #babalevo #lukambaofficial #diamondplatnumz #wcb4life #tiktoktanzania #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 April 2025 04:00:30 GMT
82544
3045
86
27

Music

Download

Comments

phinoolamide1
phino olamide :
We sio Mungu Fala wewe..🙌
2025-04-18 19:12:39
1
stonerdeep
stoneR_1779 :
mbna qboy ndo anaishi uko na alitoka wasf
2025-04-18 07:39:53
7
sato_kirumba
@g.momo1&2 :
kwani marekani ni mbinguni?
2025-04-17 11:17:04
10
06734t73323mkurungwa
omari hassan :
wengi mtaona baba levo anaongea pumba ila huo ndio ukweli 🤣🤣🤣
2025-04-19 00:49:27
10
kelvinjohnson521
Kelvin Johnson :
aende na nani😅😅😅😅lukamba kapotea
2025-04-17 10:32:05
6
jayfra4
Jay jay :
lukamba ka sema mshahara ulikua wa kunyanyasa , exposure hailipi Kodi
2025-04-18 12:39:01
3
ashfayna_3
My love😍A❤️L🫂 :
Kwenda wewe unaetumwa kuuza unga uchawaa ni kujificha tu
2025-07-09 13:19:10
2
user294137915951
agu mwadime 199 :
halafu kweli
2025-04-17 04:47:49
3
dreamcatcherdrivers
dream catcher driver :
Marekani sio mbinguni mkuu sisi ndugu zake tunaishi hapa sio big deal babu.
2025-04-18 23:49:15
2
santawamamy
Santa wa mamy :
samahani muandishi siyo lukumba ni lukamba
2025-04-30 20:40:20
1
ukwelimchungu2
MR.X :
Hii ni picha ya mtu mchawi...Anaonyesha kafanya kazi kubwa kuwapeperusha aliowakuta na Diamond ili abaki yy na watu wapya..Umeona wapi mwanaume yupo tayari kumzalia mwanaume mwenzake?Zuchu kz anayo
2025-04-17 18:56:30
6
cardation9
Cardation :
Kama ujui utaona kama chuki ila uwo ndo ukwelii
2025-05-30 22:58:35
0
wizah5
DON MENDEZ :
😂😂😂
2025-04-17 08:21:20
2
john.alembi
John Alembi :
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2025-04-17 19:05:22
1
breezyelmara855
Breezy Elmara :
😁🥰
2025-04-17 08:15:53
1
dmnyama.0
D.MNYAMA :
😂🇹🇿😂
2025-04-17 05:48:43
1
geradishinje0
geradi eagle :
🥰🥰🥰
2025-07-12 23:11:11
0
j.silverdollar
Silver dollar💰💵✅ :
@Lukambaofficial twende malekani tumkate kamdomo sasa😂🤣
2025-06-25 16:46:25
0
assumani44
Assumani Bilungi 44 :
🥰
2025-09-27 18:48:23
0
user8512567125576
user8512567125576 :
🥰
2025-09-14 07:50:17
0
yakobo.letinga0777848033
Yakoboletinga :
🥰🥰🥰
2025-06-20 08:05:23
0
allydollars26
Allydollars📉 :
@kaydrone jamaa huyu 😂😂
2025-04-25 16:58:52
0
assumani44
Assumani Bilungi 44 :
2025-09-27 18:48:23
0
assumani44
Assumani Bilungi 44 :
2025-09-27 18:48:24
0
officialtale3
drip macode fashion store 🛍🛍 :
😂😂😂
2025-04-18 00:35:19
0
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About