hahahaa Rama mlawatu . Pole sana Dogo Histari yako naijua
2025-04-17 21:21:19
44
oldboy🧔 :
natamani kucomment lakin naogopa wale watu wa hello dear niko na fursa😂😂😂😂😂
2025-05-16 22:17:14
3
Himgolden :
Dah umekuwa mkubwa , nakumbuka kipindi iyo niko primary ndyo kesi inapamba moto 🔥😂😂😂
2025-04-29 22:11:56
2
. :
Mimi nimepotea sielewi walienda choo kwanini na walimnyoshea kidole kwanini
2025-06-10 16:44:39
1
WAKILI :
huyo muongo mm nilikuw nae kwanza aliingia mtoto mdogo age 12 kweli alikuwa anatisha lakini hakuna aliemkimbia alikuwa akienda chooni uck akirudi tu anachuruzika damu mdomoni hicho tu kilikuwa kinawaogopesha lakini hakutengwa sema godoro alitumia peke yake lakini cjui mafunza cjui nyapala wapi
2025-05-17 22:50:57
3
Iman Athuman :
rama mlavichwa
2025-04-18 20:33:51
0
DJ BONI MR MISONDO🇹🇿 :
mzee wa kichwa cha mtuu
2025-04-18 19:44:44
0
Ibrahim Ngida :
kwani manyapara wanasemaje
2025-04-17 19:48:33
0
abou :
sio rama hyu mla watu
2025-04-17 17:53:53
0
zee la zengwe :
haya majina ya kina rama hakuna rama ambaye hana historia ya ajabu sjui kwa nn
2025-04-25 06:51:34
0
iamsami :
😂😂😂nheeee
2025-04-17 16:35:18
0
Zanilo Pedro :
lama mla watu alichinja mtoto ikawa anfyonza dumu ya kichwa cha yule mtoto alie muua
2025-06-14 21:59:10
0
Mwamjengwa :
dogo hajabadilika hata sura
2025-06-11 16:07:15
0
Kb :
Hii siisahau Sikulala nakumbuka miaka ya 2000 story ilitikiza nchi
2025-05-16 19:24:39
0
emanueliwildauson :
huyu dogo nilikutana naye dodoma akiwa mirembe nikapiga naye stor kbsa akanielezea kisa chake ila ashatokaga
2025-04-27 10:11:06
0
kamba :
rama mla watu kakua mwanang..
2025-04-17 18:46:38
33
dixonmartine2 :
Tulio kaa magereza tujuane. Mwamba anajikuna kuna kweli mjela jela
2025-04-18 15:03:12
5
LOVE IS HEART NOT MONEY :
dah ishu yake ili trendy sana lama na kichwa cha mtu😂😂
2025-04-17 16:57:16
0
ammy Lian :
msituambie alikua gain hahahah
2025-04-17 15:38:22
4
stoner nunda :
haha dogo kakua kweli nazeeka
2025-04-17 16:32:06
0
Chrispin :
ni gereza gan hilo lina godoro wanangu nipeni siri bac hiyo sitawasahau wanangu 🤣
2025-04-22 06:50:15
1
@maname@ :
🥰🥰🥰
2025-04-17 16:04:59
0
To see more videos from user @prisonlife001, please go to the Tikwm
homepage.