@mlachake_memes: wakiwa na samarikhan zimeshika mbaya sana 😂😂😂 #memestiktok #mlachake_official #kenyantiktok #trendingvideo #viralvideos #fypシ゚ #memecut #goviral #relatable

Mlachake_Official
Mlachake_Official
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 April 2025 12:31:37 GMT
249903
16792
308
2078

Music

Download

Comments

chakademuskomu
Chakademus komu :
Akikubuka vibogoyo hawana meno anatokwa na machozi😂
2025-04-19 22:10:19
290
user8834044960638
Abuu :
people don't know more about jaba only members understand this guy 😅😅😅
2025-04-20 11:27:52
160
mutunga088
@kamaa :
anashangaa kwani kumekuwa usiku kumbe ni taxin imefunika jua
2025-04-20 06:12:48
113
josphatkaranja351
Josphat :
akikumbuka kuna msee hana mikono hawezi shika jaba anatokwa na wazimu..
2025-04-20 06:28:22
64
nganya_syndicate
️Nganya_syndicate :
Hapa kushuka labda stairs😂😂😂😂
2025-04-19 20:47:49
57
juliubzaoly
julius kioko :
zimeshika kama pegs mpya
2025-04-20 08:22:54
45
abdeqaderahmed
El Hedaddy :
kama laana Za Jaramogi😭😭💔
2025-04-20 12:29:15
33
evansgitonga467
Evans Gitonga :
zimekosa stage ya kushukia😂😂
2025-04-20 12:28:14
26
rico85464
Rico :
zimeripoti kuliko aljazeera 😂
2025-04-19 22:39:50
24
abacho00
JEY Tech :
zimeshika kaa homa😌😌😌
2025-04-20 07:32:42
15
kuroxagar99.com
Kuroxagar :
jaba imemwacha akiwa paralyzed 😁😁😁
2025-04-20 08:15:42
11
alonglilo66
Ṣ̌ancho🥸 :
unaweza thani nimembao,kumbe ni pistol 😂😂
2025-04-20 01:08:16
8
yobboranx
yobboranx :
apa sasa unatafuta mwiko ya kugeuza taxin😂😂
2025-04-21 19:17:54
8
s.o.j.a.m.a.n_
Killymilly :
akikumbuka alichanganya balee n jaba fresh analia tu 😂😂😂
2025-04-27 19:00:48
8
mrbrianmaina
Brian Maina :
Hadi akaanza kumsifu Yesu Bristol 😅😅😅
2025-04-20 12:53:18
7
enockmuendo
munga 🤫🥶 :
Jaba ni dawa ya pressure
2025-04-20 02:49:24
6
uji_ya_meru
Uji_ya_Meru :
ushaikula jaba imelala? msee zimeahika akapata crowd iko hapo ni ndogo na story ako nayo ni kubwa😂
2025-04-21 15:36:18
6
user9736518112225
Heart Breaker 💔+254🇰🇪🇰🇪 :
zinatafuta stage za kushuka zinakosa😅😅
2025-04-24 09:02:07
6
balad00sh
fala.mwerevu🥷 :
nimepigia mzae nikiwa taxin akinitumia pesa ningolewe hio jino😭😭😭😭
2025-04-19 22:21:48
6
mlachake_memes
Mlachake_Official :
official accounts( 2)❤️❤️❤️😊😊😊
2025-04-19 12:50:15
5
marinvictor0613
Marin Victor :
zimeshuka Hadi anasikia ni kama anaenda zayuni 😂😂😂
2025-04-20 12:06:37
4
qotomiye100
qotomiye100 :
kwani tuna kula sukuma huku
2025-04-20 17:33:25
4
user4525428331287
Hakim Chris :
zimeshika jaba inaonja pilau..😊😅
2025-04-22 17:18:09
4
kelvin.mwirigi1
kelvin mwirigi :
unapitana na murio anakusukuma Kando unadhani ni bega kumbe ni taxin
2025-04-22 19:20:02
2
To see more videos from user @mlachake_memes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About