Everyone is going to run 🏃♀️for this question 😒, Do you love God
2025-04-20 13:34:30
1780
najmanurdin3 :
nlivyoelewa huyo kaka kamaanisha siku maisha yakiwa magumu mwanamke ataweza kufanya chochote familia ipate kula
2025-04-21 07:44:48
1747
Klyro :
the guy doesn't mean,atamufungulia biz ya nyanya but he want to know if when akiwa broke huyu dem still atavuumilia ama ataenda
2025-04-20 15:05:48
414
Its_Gee_officiall❤️🫂💍 :
huyu kaka yupo sahihi lkn cc Wanawake tunajisahau sana
2025-04-19 18:17:27
601
🦋🦋 :
watu wengi wanashindwag kuelewa maswal ya kupimwa yaan anatak akuone sku maisha yenu yakibadlk kiuchum je unawez kuuz ht nyanya au ndo utamkimbia, so the man is correct😂😂😂
2025-04-20 09:25:11
407
lydia :
anaongea tu hata huo mtaji hana
2025-04-19 18:45:39
541
sony559 :
nimegundua kua watu wengi waliomshambulia huyo kaka uwezo wao wa kiakili ni mdogo Sana Hilo swali ni la mtego na wenye akili tu ndo wanaweza jibu nguo na nyanya, kipi kina hela nyingi? jibu ni nyanya
2025-04-20 10:24:49
338
MTOTO WA BABAANGU2021 :
wenye akili wataelewq alichomaanisha huyu kaka
respect saan bro umeweza🙏
2025-04-21 11:57:58
465
Nikky🌹 :
uyo kaka bila shaka ni group O 😂😂😂
2025-04-20 21:49:39
147
mansa 💕💌 :
huyu anatafuta mke not relationship
2025-04-21 11:12:31
44
Binti msimamo :
huyu kaka yuko sahihi sema wadada weng wanapenda maisha yakistar
2025-04-20 21:01:08
23
lillyella🇹🇿♉️🇷🇼 :
nimempenda huyu kaka 🥰🥰😂😂
2026-01-20 21:26:11
5
Frank Sway :
Dada ako sawa kabisa..Kila mtu kuna kitu anaweza kukifanya na kuna kitu mtu hawezi
2025-04-22 13:47:28
6
aisha Hamisi :
akauze nyanya mwenyewe na izo ndevu zake kama stiliwaya