@realjaymelody: Nilivyokua mtoto nilikua nashangaa sana Kwanini mimi vitu vyangu haviwi kama vya watoto Wengine, nilikosa vingi ambavyo niliamini ni haki yangu kuvipata. Sikujua kama vitu sio rahisi hivyo. Japo wazazi wangu na ndugu zangu walijitahidi sana niishi vizuri kwenye hali yetu ile ile ya umaskini. Ikafika wakati nikajizoesha kwamba kuna vitu sio muhimu kwangu japo watoto wezangu wanavyo. Nikawashawishi mpaka na marafiki zangu kuto kupenda vitu kama Nguo za siku kuu, chipsi,soda 😄 na kadhalika. Asante kubwa kwa wazazi wangu kwa kunilea vizuri na asante pia kwa wazazi wote wanaopambana kwaajili ya watoto wao na familia zao🫡 Now nimekua nimetambua🤔 Bora zamani nilivyokua mtoto

jaymelody
jaymelody
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 April 2025 19:59:36 GMT
249475
20136
212
646

Music

Download

Comments

kingobelly_store
Kingobelly_Store👗👗👄 :
kumbe ukikua mkubwa ndo unajua chooni ni sehemu ya kupumzikiaa🥺🥺🥺
2025-04-19 22:36:15
49
somalian_girl8
somalian_girl🌹 :
Ukitendwa ndio nyimbo za hvi hutokea 😔 nan yuko n 40 yrs tuanze relationship 😭
2025-04-20 18:22:43
12
user119888780179
Babi girl 💞🌹 :
Niceee🤣🤣
2025-04-19 20:31:58
8
omnsmk0
Okayago 10👑 :
Jey we ni mbwa umetisha sana ✌️
2025-04-19 23:14:34
14
user657510287438
@🦋Mrsvall💖🍭🔹 :
King 🥰🥰once again
2025-04-19 20:08:39
5
ibraah.timol
ibraah timol :
jina la nyimbo
2025-04-20 05:56:59
3
tcgihannah5
Gihanna🌸 :
😭😭 Listening to this with teary eyes akiiie ukubwa dawa anyone I can to vent to 😢
2025-04-22 08:11:34
3
msodoki418
it's franco💦 :
fire 🔥🔥
2025-05-05 07:42:48
1
heisluxe
itslouii ♡ :
Mbona haipo available kweny music platforms 😭
2025-04-23 14:54:22
1
user4992069301907
fetty salum :
😂😂😂🤣 jay melody
2025-07-19 11:41:54
0
dullahabdullah865
Dullah Abdullah :
kak me shabiki yako san lkn pia nilikua nataman san kutoka ktk game ya mzk naomb msaada wako kak
2025-04-20 15:23:31
1
richoflove167
❤️RICH OF LOVE❤️ :
nakopesha upupu jumla jumla na lejaleja
2025-04-30 15:16:46
1
francomobiles
Franco Mobiles🛍️ :
This song🔥🔥🔥🔥💯
2025-05-16 16:35:18
0
cannysiv371
Cannysiv :
song 🦺🙏➕️➕️➕️➕️➕️tayari
2025-04-21 03:19:52
0
officialtina.34
Tee :
dah sio maua kweli😌😌
2025-05-28 11:29:54
0
de_laminoo
@de_laminoo💥🌟 :
ilikuwa kula,kusoma na kucheza Oa kk huuuu mwembo umesema fact sana yani😁🥳
2025-05-19 07:47:30
0
joycebaraka09
Joyna🧸 :
jay😭😭😭😭
2025-06-05 04:36:45
0
the_official_riham
H :
Na saiv unanunua soda mwenyew 😁
2025-05-12 06:43:12
0
user348614631792
naazra :
Nakupenda 😭😭
2025-04-23 15:13:29
0
jackson.rabson1
Jackson Rabson :
dah jay aina noma mwanangu 😭 👏
2025-04-29 10:29:00
0
your_friend255
Dear 🥰❤️ :
Utu uzima dawa
2025-11-18 19:48:35
0
africanstarr
Breezy Starr Babuu :
🤑noma jay
2025-04-24 14:27:59
0
user3671154924608
minja momo :
@Cutie pie🦋❣️ ❤️❤️
2025-04-19 21:00:05
4
t.baby8054
T baby :
🥰🥰🥰
2025-06-19 06:28:30
0
s3_.maestro
S3_.maestro :
🔥🔥
2025-04-20 05:09:47
0
To see more videos from user @realjaymelody, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About