Vijana we zangu nawaomben sana tubadiliken kwan hii dunia tunapita2 nahaya maisha ya dunia ni upuzi2 hebu tujihesabu wenyewe kabla hatuja hesabiwa aamali zetu pia hebu tujutie kwatulio yafanya aamin
2025-04-21 18:56:10
243
Ramking'os :
shekh uyu nizaidi ya mwalimu Allah amhifadhi miaka na Miaka aamin
2025-04-22 05:11:21
55
hussein Alli Mussa :
ASALAM ALYKUM JAMANI TUSISAHAU KUWAOMBEA DUA WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI🥺DUNIA NI MAPITO TU🙏
2025-04-21 22:47:22
27
Suleiman Othmani :
Alla atuongoze,kutumia muda wetu vizury 😂😂😂😂
2025-04-21 12:20:03
24
😵😩😣😤💯 :
subhanallah mungu atupe mwisho mwema🙏
2025-04-21 19:41:44
15
ar_rm® :
Allah atujalie mwisho mwema, atusamehe madhambi yetu na atujalie tuingie peponi kwa neema zake na atuepushe na moto wa jahanam 🤲
2025-04-21 14:34:20
34
Yusco flavour :
Yaa Allah mlinde sheikh Wetu mpe umri mrefu ili tuzidi kupata faida kutokana na yeye aamin 🙏🙏
2025-04-21 10:08:45
71
ABDRAH :
YA ALLAH TUONGOZE KUIFUATA NJIA YAKO ILIYONYOOKA.....ALLAHUMMA AAMIN