kama nilisajili jina la kampuni tuu brela na mpka sasa mwaka sijaanza kufanya biashara, je kuna kodi yoyote nitaweza kudaiwa
2025-05-04 17:51:04
2
princessstationery 📖📚📒 :
mim nahitaji mafunzo ya leseni za udereva na kurenew
2025-05-02 05:34:03
2
🦣@$@ hassan :
najiungaje kweny group braz
2025-05-06 16:38:58
2
majaliwa :
naomba kujua garama za kuingiza pikipiki na bajaji ikiwemo na isajiri
2025-12-06 15:06:32
0
pinto picture :
niunge Boss
2025-04-23 17:46:14
2
MGABO THE GREAT :
samahani mkuu naomba nielekeze jinsi ya kuingia kwenye manunuzi ya minada ya TRA
2025-04-21 14:08:56
2
Viwanja Nyumba Dodoma :
utaratibu wa kujiunga
2025-05-09 07:03:42
2
Waziri Mahhad :
niunge please
2025-08-20 14:16:39
0
sunday_Quaresma :
habari mkuu, mimi tayari PROVISIONAL LICENCE yangu imefikisha siku30 na kesho naenda kufnya TEST, tafadhari naomba unielekeze jinsi ya kuomba leseni k
2025-05-15 20:30:15
1
user73233476250903 :
Ilo group la wasapu nimetuma ujumbe una wiki mbili sijaungwa wala kujibiwa ata
2025-08-11 18:42:12
1
Smail Muda Bado :
leseni iko na mwaka mmoja naweza kuongeza Daraja
2025-05-03 18:21:36
2
Michael JP :
@Michael JP:MIMI NILIUZA BAJAJI ILA SIKUFATA UTARATIBU WAKUBADILISHA UMILIKI NA NILIE MUUZIA HAPATIKANI NAWEZA KUZUWIYA MATUMIZI YA TN NAMBA YANGU?
2025-05-03 22:41:55
1
chief_kajiru :
Ukichelewesha kupata makadirio ni faini kwa mwezi ni shilingi ngapi?
2025-06-10 11:01:01
0
michael tugi :
niunge na group
2025-08-13 14:44:08
0
upuser992 :
nataka kuuliza mwezi wa tano niliangalia ushuru wa gari na nilipata accessment ya 30million leo naangalia ili niweze kulipia nakuta imefika 38..imekuaje hadi imeongezeka hivyo
2025-09-01 17:26:09
0
ismailmtaruke187 :
mnataka kututapeli sas
2025-09-07 17:11:08
0
Hamis Masoud :
PROVISIONAL DRIVING LICENSE Naomba kujua hii ni aina gani ya Lessen
2025-04-29 18:58:43
0
Donald101 :
Mkuu naomba kujua kama nimefanya renewal ya liseni yangu ya udereva September mwanzoni na nikaongeza madaraja September mwishoni, je nitalazimika kulipia tena au madaraja yataongezwa tu?
2025-09-27 17:43:15
1
C.A.N :
Naomba kufahamu namna ya kulipia bima ya gari serikalini online.
2025-06-25 17:40:27
0
Gaston Ntabalezi :
Nilikua nauliza tin nay inaexpaya ikihitaji kurinew
2025-07-07 10:51:17
0
Black speed :
niunge
2025-10-21 19:43:17
0
muuhlove01 :
Me nilikuwa nauliza wakala wasik na bank tunatakiwa tukadiriwe au nataka kuelewa mkuu
2025-08-13 11:13:41
0
dtwic :
xry naomba tena elimu kuhusu wakala wa miamala kudo tra
2025-07-20 19:01:40
0
official ɓèðui :
naomba kuuliza katika basic driving, VETA napata na daraja la bajaji ? au laa
2025-07-17 14:05:11
0
R van :
mkuu samahan naweza kupata namba yako
2025-04-30 10:55:00
0
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm
homepage.