@ngagesaonline: MAAJABU , MTOTO WA SIKU TATU KUZALIWA AONGEA #bongotrending #TREND #habari_zinazo_trending #tktokkenya🇰🇪 #tktok_india #zanzibartiktok #tiktoktanzania #ngagesaonline
NGAGESA ONLINE
Region: TZ
Monday 21 April 2025 14:24:52 GMT
Music
Download
Comments
Stephy :
Hii inatukumbusha kua Mwenyez Mungu yupo..ww unae Amin Mungu yupo gonga like
2025-04-21 18:53:46
681
Glaps :
😁😁 nmechek sanaaa yaani mama mtoto naye anapata ujasil wa kuongea na mtoto wake wa siku tatu nadhani ningekuwa mimi ningekimbia aiseee😂
2025-06-07 19:39:55
19
Precious :
Ukute mtoto katumwa na MUNGU 🤣🤣🤣🤣
2025-06-02 19:08:37
17
Elly :
Nipende kumshukuru Mama Samia, Hakika hizi zote ni juhudi zake. #Mama Samia MITANO TENA
2025-04-22 07:35:24
39
@vicbrit💫🫵 :
eeh mtoto kweli alisema WANTAAM!!!😂😂
2025-05-30 16:05:57
20
Bertha John :
Kwan mtt mwenyewe anasemaje SI waitishe mkutano mtoto aongee mbele ya hadhara🤣🤣🤣
2025-04-22 11:44:24
81
🌸zeuh ♎️💖 :
kama alisema ruto must go achana na yeye
2025-04-24 22:46:08
11
KING MWAGO💥👁🧠💤💌 :
kwan mtoto wenyewe anasemaje...?
2025-04-22 06:29:55
28
neyshedy :
aende shule Sasa alafu akinya ajioshe mwenyew ni mtu mzm kumbe
2025-04-21 21:56:16
8
MammieTFF❣❣ :
🤣🤣🤣🤣🤣 jaman kwa hiy huy mama kaamua kutoa kero yake kwa namna hii
2025-04-22 07:51:41
10
user2933761635750 :
kirikuu kapatikana jamna
2025-04-23 03:43:22
10
3faceson :
lazima baba uyo mtoto ni mkenya
2025-04-29 04:12:40
14
elicia :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakamatwe wacharazwe na huyo mtt apelekwe jela😂😂😂ye s mtu mzima
2025-04-22 09:22:42
15
Aubree🌹🌹 :
kwani hawezi ongea kwa mike
2025-06-19 18:42:43
8
GXmnyama :
mtt wa operation hawezi kuwa nyumbani kwa siku tatu hzo ni kiki mama samia mitano mingine
2025-06-13 09:20:32
5
mtoto wa pasaka :
tunaosoma comment tujuane😂
2025-04-22 14:24:34
30
Imma Mbuya :
wakina Thomaso tupo hapa mhojini Tumuone huyo mtoto
2025-04-22 12:14:40
10
HONORABLE CHILA 🇹🇿 :
Hv familia ina mwanasheria??😂😂😂
2025-04-22 16:59:51
5
prettily5 :
Leo Tanzania wametushinda,🤣🤣hao wako na maajabu ya Musa firaoni,
2025-06-08 20:17:46
5
Mwani :
Jaman hili mama samia na viongozi wengine mliangalie msipuzie
2025-04-21 20:59:07
12
Mkerewenia :
yaani sikuamini kumsikia mtoto wa siku tatu kusema no reform no election
2025-04-22 16:19:10
7
Kiroya Mollel :
tujuaje wale.ambao wanasema.mungu yupoo
2025-04-23 20:04:53
6
JG :
tanzania 🇹🇿 again...😂😂😂
2025-04-23 00:22:56
6
Moonlight :
Mlikua hamtaki aongee kwanni
2025-04-22 05:58:06
5
toddietk :
kiriku kazaliwa 😅
2025-04-22 11:50:49
7
To see more videos from user @ngagesaonline, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.