@kp_wa_akwino: Kitoto kina maswali hiki… ila watoto wa 2000 nao wanatakiwa kumwita Mwalimu julius kambalage nyerere, Baba au Babu?? @Nayla Star ⭐️🌍💫 #swahilitiktok #kpnazebuu #nayla #tiktoktanzania
KP🦁♋
Region: TZ
Monday 21 April 2025 16:28:03 GMT
Music
Download
Comments
shadlove🇷🇼🇹🇿 :
nimechoka kuishi African nataka nihamiye congo
2025-04-22 16:17:11
8
munee💜🦋 :
tuletee behind the scenes 😂😂😂
2025-04-21 21:44:19
215
venitha :
tunaosema aka katoto kanasem ukweli tulike hapa jaman
2025-04-24 13:05:08
534
juma ali juma :
kama inaelekea hivi🤣🤣😂 mimi namwita baba wewe je??🤣😂
2025-04-21 19:15:06
131
Scovian :
anaongea in reality 🤣🤣
2025-04-22 20:41:43
27
killingah1 :
nimekuwa wakwanza leo jamani moja nifanyiwe na mimi...nampenda Nayla🥰🥰🥰
2025-04-21 16:38:21
35
cute@ official :
Nayla umetuwakilisha vyema watoto wa 2000
2025-04-23 17:10:40
7
KHALIMA CUTE😘 :
watoto wa 2000 ambao akiye2 kumuita babu 2juane😅
2025-05-25 14:19:33
6
Albert :
kwahy mm ni wa 2000 ...... hadi nayla ni wa 2000....... haya madharau🤝🤝 mm nakua 90
2025-04-27 09:52:50
9
mukades :
hongera sana kwaswar zur
2025-04-21 16:44:32
25
clinton G mlay :
hata mm namuita babu mi mwenywe nimezaliwa elf 2000 hata kumjua hatumjuii
2025-04-24 14:32:57
6
elinami :
mpe honger zake kina maswal sana MUNGU AMSAIDIE
2025-04-23 05:51:12
7
Juma R :
kwa kwer hicho nikichwa mmmh
2025-04-21 17:33:29
10
Efthalie :
coup de chapeau à toi
2025-04-21 18:03:14
13
Mrs. JEM :
dah hivi kumbe m na nayla wote ni wa 2000. sijapendaaa
2025-04-22 16:48:48
6
Mwanamisi Ismaili :
tunaemwita babu wa taifa gonga like 🫶
2025-04-22 13:25:50
5
melisa reysa :
😂😂😂 nayla nakupenda bure jamn
2025-04-22 15:19:08
7
user4159171615167 :
ukwel baba wa nayla usivunge
2025-04-21 16:41:33
13
which country is this 😊 :
which country is this
2025-04-21 16:41:16
88
Costa Diego🛠 :
baba badilisha protect ya sm😂😂😂
2025-04-24 05:26:05
5
Angelista Kaishozi :
🤣Sikumoja mtoto wa Kaka aliniuliza
Swar et Shangazi kwanini Sisi tunatumia jina la Babu yenu shuleni na wakati sisi Babu yetu ni Emmanuel
🤣🤣🤣🤣
2025-04-22 11:26:46
22
miss reey💓 :
🤣🤣🤣 Nakukubaly nayla Wang. penda shanah ❤️❤️🫶
2025-04-22 11:56:35
5
CATE 🥰🥰🥵 :
I thought this nayla was born 20 something how about 2000 she is taking about,,just a question
2025-04-21 19:00:37
15
angelmohamed28 :
hivo hivo muite2 Babu kwanza sisi wenyewe hatukumkuta kwahiyo tupo wengi ngoja tumuite Babu wa taifa2❤❤❤
2025-04-21 17:13:18
12
To see more videos from user @kp_wa_akwino, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.