@freetaxguidetz: Part 102 | NYARAKA ZINAZOHITAJIKA ILI KUBADILISHA UMILIKI WA GARI,BAJAJI au PIKIPIKI KWENYE MFUMO WA TRA✍🏻 🔘Tunatoa Ushauri mbalimbali kuhusu Uanzishwaji wa Biashara. 🔘Usajiri wa Jina la Biashara, Biashara ya Ubia (Partineship), Kampuni na Tust (Mfuko wa Uaminifu) 🔘Ushauri kuhusu Kodi mbalimbali na Forodha. 🔘Ushauri kuhusu uagiza wa Magari nje ya nchi hasa JAPAN🇯🇵 🔘Ushauri kuhusu Uagizaji wa Bidhaa nje ya Nchi. 🔘Kupata Leseni mbalimbali za Bishara 🔘Ushauri kuhusu Kulipa Tozo mbalimbali za Halimashauri na Manispaa 🔘Tunatoa Huduma za Kitaalamu (Tax Consultants) kwa watu binafsi na makampuni mbalimbali. 🔘Tunasaidia kufile return mbalimbali za Mamlaka ya Mapata (TRA) . . . . . 📌 Swali Lolote au Ushauri, Tupigie📞 ☎️0783-727-272 📍Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 ©️HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA . . . . . . . . .#ugandatiktok🇺🇬 #tanzania🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibartiktok #tanzaniatiktok🇹🇿 #business #business #tanzania #magari #daressalaam #tanzaniasafari #bongofleva #businessproposal #tabora #pikipiki #bodaboda #mwanza #tanzania🇹🇿tiktook #bongofleva #mwanzatiktok #tanzaniatiktokers #tanzaniasafari #daressalaam #tanzania #magari #business

FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 April 2025 21:55:21 GMT
8900
131
26
132

Music

Download

Comments

bankineza
Issah Bankineza :
Ni kweli malipo ya 65,000/= kwenye pikipiki za biashara zimefutwa!?*
2025-08-30 14:10:31
0
realgerald2
Gerald jr 💦 :
je zoezi hili linaweza kufanyika online??
2026-02-17 15:50:57
1
adilsonkimmich
adilsonkimmich :
asa kama huna izo document je
2026-09-03 10:17:37
0
kimdada24
Mzee wa siku :
Ni kweli kwamba ukitaka kubadilisha umiliki wa gari unatakiwa ulipe asilimia 10 ya pesa mliyouziana?
2025-04-22 06:00:44
1
justinproper
Justin💫💫🇹🇿🌍 :
Utaratibu upoje nafanyaje au naomba namba ya simu inayopatikana niweze kuwapigia maana namba mlo weka katik bio haipatikan mkuu
2025-04-22 06:35:37
1
sungura_
sungura :
Kwa hiyo namba ya nida nida ya mmilik wa swali sio muhimu sana?
2025-04-22 04:28:34
1
salu_star_boy
SALU STAR ⭐️ :
wakili anapitisha mkataba bure au Gharama inakuaj👍👍. nisaidie
2025-10-23 19:20:32
0
lazarochallo
Sir The Great :
kama nabadirisha umiliki wa gari isiyo ya kibiashara viambatanisho ni nini na nini?
2025-06-15 19:14:47
0
remsysupplies
Smartphones | Accessories :
Kuna gharama zozote za kulipia?
2025-05-04 09:36:29
0
user46396216153626
user46396216153626 :
Sasa kama mmiliki alishafariki 2006 na familia ikauuza hiyo gari kwa mtu mwingine hii itakuwaje boss??
2025-08-07 14:53:34
0
alexraphael609
Alex Raphael :
mkuu nimeenda ku re new leseni yangu ambayo iliisha tangu mwaka 2022 lakini naambiwa imefutwa kwenye system, Inaweza kuwa ni kweli?
2025-06-08 05:17:19
0
gover0000
gover :
sasa kama watu wabima wamelipa fidia ya gari ilipata ajali itafanyaje pale kwenye reason change nitachagua ipi
2025-06-11 09:50:19
0
adilsonkimmich
adilsonkimmich :
unakad tuh
2026-09-03 10:17:47
0
jabema24
jabema :
bajaji kubadili umiliki xhingapi
2026-03-13 15:17:58
0
john.thomas429
Fredy :
😂
2025-09-26 08:42:11
1
myname_is_tanzania
myname_is_tanzania :
dah nina kadi tuu aloo japo nalipia latra
2025-06-24 09:38:53
0
paschal.isdory
Paschal isdory :
Sawa inagalimu shgp
2025-05-04 09:31:09
0
user181681615051
ndagula :
yes
2025-04-28 19:10:04
1
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About