@esthermbwambo2: “Ndiyo, baking soda inaweza kusaidia kupoza kiungulia… lakini sio dawa ya kutumia kila siku! Kwa mtu mwenye silent reflux, matumizi ya mara kwa mara yanaweza kuharibu balance ya asidi tumboni, kusababisha gesi zaidi, kuathiri figo, na hata kupandisha pressure. Baking soda ni ya emergency tu — sio tiba ya kudumu! Tambua zaidi kwenye video #estherwellness #acidreflux#kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #usa #