@iamhaika1:

iamhaika1
iamhaika1
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 April 2025 13:30:18 GMT
1209572
27499
514
7659

Music

Download

Comments

mamake.masha
mamake Masha,🥰🥰🥰 :
unataka tupewe ukimwi 🙄🙄🙄,,aty wacha tu
2025-04-23 07:55:10
61
analysis037
Dr Kelly :
Kama auna ukimwii gonga like tukisonga
2025-04-24 04:16:16
36
gaudelovee
gaudensia :
kwa hiyo wanawake ndo wanpenda vya zaman we dada jishikilie
2025-04-24 07:33:14
18
carol69953
Carol :
Hata ladies wanapenda vitu vipya
2025-04-23 08:31:05
21
virtual8393
Administrative VA :
🤣🤣🤣🤣🤣 surely what advice is this
2025-04-23 09:23:01
18
user3617161047819
marry minja :
pesa za familia zitaishia kwake ndo shida
2025-04-23 08:01:15
6
realsapna0
Sapna🥰 :
msijichanganye mwijaku kaacha ndafu kafata moshkaki 😂😂😂hizi mbwa hazipendeki muweke tu mahali anakuwekaga😂😂👌
2025-04-23 09:48:18
9
fb2543
fb2543milly :
ata sisi tunapenda vitu vipya ....napita please 🤣🤣🤣🤣
2025-05-05 14:19:41
2
jacklinekamathi5
the humble lady :
bytheway mwanaume akiwa responsible siezi vunja ndoa yangu sababu ya kasichana kanatumiwa uko nje 😂
2025-04-25 12:13:34
2
user3313161416224
Eva massawe :
Unawajaza hao wanaume ujinga ili wazidi kuwatesa wake zao hapo hujengi bali unabomoa
2025-04-24 10:41:33
1
redemdouglas1
Redem😍 :
mwenye alikufunza hii endea pesa yako mamaa..
2025-04-23 10:59:03
8
akenyan0
A Canadian001 :
🙏🙏 Thanks
2025-07-11 03:30:51
0
chuddy839
Chuddy 🇰🇪 :
Acha kudaganya watu bibilia ina sema mungu alimuumba adam na Eva na simchipuko
2025-04-28 10:13:09
1
sheismatilldah
MATILDA ❤️‍🩹 :
mimi advice kama hii sitaki nishaanza kukasirika 😂😂
2025-04-23 11:19:05
2
joseph.juma249
Joseph juma :
💓💓💓💓💓💓💓 amen 🙏
2025-06-23 06:40:59
0
ras3146
SELF LOVE :
nitakufa single kama mambo ya ndoa ni hivyo mama mchungaji ungesema tu hakuna mume wa pekeo it means hata huyo wako ako kwa adventure right now nyoo single forever gather here
2025-05-17 18:19:49
0
user6543030591425
Ramtu Coaches :
kweli true
2025-07-14 18:58:47
0
user49287738540297
Moses :
Amen Amen, ukweli kabisa seme
2025-04-23 05:03:54
0
philemonfelcian
philemonfelcian :
point
2025-07-08 19:30:22
0
amidasamiry
Amida :
Kuwaendekeza Mbwa hawa kwani unadhani na sisi atutaki kuwatumia wanaume wengine na sisi tunataka wanaume wapya
2025-06-15 14:51:34
0
leonard.thomas.ma
Leonard Thomas Makoye :
mm umevaa vzr umependez
2026-07-30 02:54:38
0
edna.mwampamba
Edna Mwampamba :
Mimi leo cjakuolewa kabisa
2026-08-14 08:56:31
0
user2220060355666
mama julie :
we mum ushawai chetiwa
2025-06-18 11:02:22
0
timothakhura
Tim.A.Timothy :
Most ladies hawapendi kuambiwa ukweli... tell them@Followers
2025-06-22 12:24:25
0
melzanasike608
melza nasike :
Amen
2025-04-23 05:22:28
0
To see more videos from user @iamhaika1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About