ugunduzi wa kipumbav akati kule kwetu huwa ipo kawaida tena kwa watu ambao hawajasoma
2025-04-23 07:10:23
20
Ngati Pura :
Kuna jamaa mbona ana kipara
vip yeye hataki nywele 😂😂😂
2025-04-23 06:31:04
6
@mydesire :
unapatikana wapi hiyo Dawaaa pupate jmn
2025-05-01 07:34:44
0
BEN :
wale wa Vibamia njooni niwaelekeze mtengeneze dawa mjitibu
2025-04-23 11:05:24
2
🩷Tness🩷 :
ila watanzania ifike mahali muwe wazalendo,
tumshukuru Mungu ata tu kwakugundua ivyo vidogo , nyie kaziyenu ni kuponda kila kitu
2025-04-23 10:37:12
46
anubaba$2 :
Nataka yakuua nywele, haya msharubu yangu yataniua
2025-04-23 09:52:05
2
Ms. Hussein💎 :
Jmn haraka iweken dukani mana nilkua nasubiria hii muda mrefu
2025-04-23 11:32:14
0
pall_robins 🇹🇿 +🇮🇱 +🇸🇪 :
lakini mmoja wenu hapo ana kipara😃, au ndio nabii hakubaliki nyumbani
2025-04-23 04:08:19
1
Khatibu Sufiani :
inapatikana wp
2025-04-23 18:44:55
0
Makwinya og :
yaani watu wanavumbua vitu vikubwa duniani ww unaenda kitugundullia dawa ya kukuza mavuzi🤣🤣🤣
2025-04-23 07:23:37
4
Samson LAZARO :
jee yakuotesha menno vip imepatikana??
2025-04-22 19:09:00
20
lengima1 :
jamani gundueni basi na ya meno arusha meno yanatutesa na turangi twake😁
2025-05-14 05:43:56
1
خلفان الريامي🇹🇿 :
Kama ni Tanzania basi ni heri nipake vaseline
2025-04-23 07:47:45
4
Saitoti Simel :
wangejaribu na hii kipara changu ikiota nywele walai ntawachinjia mbuzi kumi
2025-04-23 00:24:35
1
mr hopper :
usinitanie mm mwenywe nina miaka 22 ila nina kipara
2025-04-23 07:33:28
2
Galib :
😂😂😂😂😂 isiwe kama kwa kina mwamposa viwete wanatembea wakati wanaotoa ushuhuda hatujawai waona kitaa
2025-04-23 13:58:17
1
GoldenLeeStore360 :
Suruhisho la komwe langu limefika 😁😁😁
2025-04-23 21:19:29
0
TikTok :
Kagundue dawa ya kuondoa mvi wazee wanakesha saloon kipaka super Black na wengine unyoa vipara ili nywele zisiote alfu unatwambia unaotesha nywele!
2025-04-23 03:14:48
1
Omary baby toys mxx mwanza :
yani miaka 12 utafiti wakuotesha nywere kweli ichi hii professional haina tisha ktk jamii yani badili utumie muda wa utafiti ARV Na tiba ya ukoma ini figo vitu ambavyo vinaua Maelf ya watu Et kipara?
2025-04-22 21:42:41
11
Leanlife💪🏃♂️🥗 :
AKILI NI NYWELE WACHA TUOTESHE NYWELE KWANZA TUENDELEE KUGUNDUA VYENGINE 🔥🔥🔥
2025-04-25 18:34:08
1
user5757540225845 :
bei Gani hiyo dawa
2025-04-23 21:48:26
0
Siham Jamal :
hongereni sana na mungu awabariki zaidi na zaidi tunapataje hizo product zenu
2025-04-24 06:35:02
1
Vee dollars :
Mpeni yule dada aliyenyolewa😂😂
2025-04-23 18:30:06
0
user8691712586009 :
MBALIKIWE SANA. SASA TUNAIPATAJE BIDHA HIYO TUNAITAJI SANA JE. IMEINGIA SOKONI NAOMBA NIPATE HIYO YA NYWELE JAMANI MAANA MATAPELI TUMESHA IBIWA SANA NA MATAPELI
2025-05-24 08:05:49
1
Abdul Tz :
Je majaribio yamefanyika?
2025-04-23 17:08:36
1
To see more videos from user @mr..og..qualty..only1, please go to the Tikwm
homepage.